Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Kwa kuwa waumini wake hawahoji juu ya kanisa vivyo Askofu hatakuwi kuhoji juu ya kinachoendelea nchini mwake?

Vv
 
Wanaufahamu uaskofu wao huko kwao lakini kwa sheria za kanisa hawatambuliki. Ndiyo maana maaskofu wa Katoliki hawapo CCT bali tuna TEC, Afrika tuna AMECEA.
Huo ni upuuzi tu. CCM mumeweka pandikizi lenu hapo TEC.
 
HALAFU MKIWA M
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
HALAFU MKIWA MNATOA MAONI AU MISIMAMO YENU YA KIPUUZI MSEPENDE KUSEMA WATANZANIA SEMA WW NA FAMILIA YAKO AU MKEO MAANA SISI HATUONI KAMA TUMEFUNGWA MIDOMO NA TUNAONA KUNA UHURU WA KUTOSHA UKIACHANA NA HAO WANAOTUMIKA KUTUVURUGIA NCHI UKIWEMO WW UNAEJIFICHA KWENYE KIVULI CHA DINI TENA ACHA KABISA KUJUMLISHA WATU WOTE WA NCHI HII UNAPOTAPIKA MAONI YAKO...KANYAGA TWENDE MAGUFULI ACHANA NA HAWA VIBARAKA
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Ona shida uliyonayo! Ulitaka ayazungumzie maoni yaliyo kichwani mwako? Vipi angeunga hoja, ungemtaka agombee? Jifunze kuruhusu mawazo pinzani ili ujijenge!
 
HALAFU MKIWA M

HALAFU MKIWA MNATOA MAONI AU MISIMAMO YENU YA KIPUUZI MSEPENDE KUSEMA WATANZANIA SEMA WW NA FAMILIA YAKO AU MKEO MAANA SISI HATUONI KAMA TUMEFUNGWA MIDOMO NA TUNAONA KUNA UHURU WA KUTOSHA UKIACHANA NA HAO WANAOTUMIKA KUTUVURUGIA NCHI UKIWEMO WW UNAEJIFICHA KWENYE KIVULI CHA DINI TENA ACHA KABISA KUJUMLISHA WATU WOTE WA NCHI HII UNAPOTAPIKA MAONI YAKO...KANYAGA TWENDE MAGUFULI ACHANA NA HAWA VIBARAKA
Sasa na wewe mbona unarudia kosa hilohilo kwa kuwazungumzia wasiokutuma? "Sisi"! Hakuna aliyekutuma umjibu baba askofu! Au nawe unaiwakilisha familia yako?
Umeona nguvu ya Mungu ilivyokupovusha na kuyaandika usiyotumwa? Migongano ya mawazo na mtazamo huulisha na kuunawirisha ubongo ulio hai! Jifunze hapa!
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Hii kanisa la kisiasa kaskazini tanzania.KKKT.

Mlitegemea waseme nini zaidi ya hiyo.
Ole ngurumwa si huyohuyo au?

VIVA JPM 2025[emoji1241]
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Kwahiyo unahalalisha kupotea na kuteswa kwa raiya wasio nahatia simply wanahoji uhalali wa mambo?. Usilewe madaraka ukadhani unao uhalali wa kuamua haki za wengine. Kumbuka mmeapa kuilinda na kuitete katiba ya JMT ambayo haikubaliani na mnayotenda
 
Ninachosema nyaisonga ni project ya ccm
Nona unamtamka kama maharage, na hicho ndo udhaifu mlio nao; unafikili CCM inao uwezo wa kumfanya padre Nyaisonga, kuwa Padre, Mhashamu Baba Askofu Mkuu na Mwenyekiti wa TEC?
 
Asante sana Baba Askofu, ukweli daima utakuweka huru....!! ila kwa kauli hii utaambiwa uvue magwanda ya uaskofu na uanzishe chama cha siasa...Yaani dalili ya kwanza ya dikteta huwa hapendi kukosolewa.....yeye yupo sahihi duniani na mbinguni.
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Wewe ni mjinga unayekimbia na bendera ya wajinga. Kuna uhusiano gani kati ya kutoa sadaka na kudai haki na heshima ya utu na uhuru wa kujieleza? Una vioja wala huna hoja.
 
Nafikiri umemuelewa anamaanisha nini na ndio maana unajilazimisha kutoelewa.

Back
Top Bottom