Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Ukweli upi alio simamia?
Sema ameamua kuchagua upande wa kushabikia!
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Jikite kwenye mada, jibu hoja zake with proof beyond reasonable doubt, acha kuongelea watu. Lumumba mnashindiwa wapi ndio maana mnafanya ujinga wa kuenguwa watu kipumbavu kwenye uchaguzi yaani hamna hoja kabisa. Si ujibu hoja jifunzeni huko Lumumba kuattack points sio kuattack mtu Pimbi wa kijani.
 
Mungu mkubwa kunakaribia kucha,waache waendelee kufanya mizaha watanzania wanazidi kuzinduka ni bora kufa ukitetea haki yako kuliko kufa ukiwa mnyonge ujinga unaendelea kututoka taratibu.
 
We mbwa shutup....pumbavu! Huwezi kusema ujinga kama huo kwa Askofu wangu nikakaa kimya!
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Ukweli upi alio simamia?
Sema ameamua kuchagua upande wa kushabikia!
Maana Siasa ni kama mchezo wa soka ambao unapande tatu, Yaani Wachezaji, Mashabiki, na Waamuzi,
Sasa Mwamuzi anapo chagua kushabikia upande mmoja, basi ajiandae na asira ya mashabiki wa upande wa pili wasio tayari kushuudia wakihujumiwa wazi wazi na Mwamuzi
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Tulia sindano ikuingie vizuri.
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Anayetaka kutufunga midomo kwa kigezo cha kutuletea maendeleo is incompetent individual na hajui analolifanya na hata maana ya hicho anachoita maendeleo hakijui
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Lakini amesema ukweli
 
Ukweli upi alio simamia?
Sema ameamua kuchagua upande wa kushabikia!
Maana Siasa ni kama mchezo wa soka ambao unapande tatu, Yaani Wachezaji, Mashabiki, na Waamuzi,
Sasa Mwamuzi anapo chagua kushabikia upande mmoja, basi ajiandae na asira ya mashabiki wa upande wa pili wasio tayari kushuudia wakihujumiwa wazi wazi na Mwamuzi
 
Ukweli upi alio simamia?
Sema ameamua kuchagua upande wa kushabikia!
Maana Siasa ni kama mchezo wa soka ambao unapande tatu, Yaani Wachezaji, Mashabiki, na Waamuzi,
Sasa Mwamuzi anapo chagua kushabikia upande mmoja, basi ajiandae na asira ya mashabiki wa upande wa pili wasio tayari kushuudia wakihujumiwa wazi wazi na Mwamuzi
 
KKKT wapo moto sana!! Hongera sana
Toka wabanwe kwenye hospital yao ya KCMC ikiwemo mapato kupungua baada ya serikali kuwabana kwenye gharama kubwa za matibabu na kuongeza vituo vya afya vya kutosha wamekuwa wakali sana.
Rais alipokutana na viongozi wa dini kuna mmoja wa kkkt kutoka huko alilalamika kitendo cha serikali kujenga vituo vya afya maeneo ambayo wao wanatoa huduma. Rais akawaambia tatizo lao wanatoza gharama kubwa za matibabu ikiwemo ubadhirifu.
Rais akasema serikali inawapa ruzuku na kuwalipa madaktari ila wao gharama zao zipo juu.
Wana mengi sana hao wafanyabiashara maaskofu. Nao ni waathirika wa serikali wa awamu ya tano.
 
Jikite kwenye mada wapi amesema anataka kugombea urais? Au umeumizwa sana na ukweli mchungu.
Anadhani urais wa nchi ni kama kuendesha dayosisi ambayo ndani yake wamejaa nyumbu. Watu wasiohoji wala kutumiwa na mabeberu. Yaani wanakuja wanatoa sadaka wanasepa. Hawahoji sadaka inatumikaje.
Siku ikianza programu ya waumini kuwahoji watakimbia makanisa.
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Miaka kumi ya jk ya kuchonga mdomo imeisaidia nini nchi. ? Mbona madudu kila kona. Hao wabunge wenyewe walikuwa wanalpwa na safari hawaendi.
 
Maendeleo ni pesa za walipa kodi siyo pesa binafsi za mtukufu wala Hisani, maendeleo ni haki ya watanzania chini ya CCM hakuna maendeleo awamu huu baada ya ukandamizaji demokrasia kuzidi kuliko awamu zote zilizopita
Demokrasia ndio maendeleo au upuuzi wa ufipa?
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo

Kwa hii post yako tu wewe ndio unachonga mdomo hao wengine unawasingizia.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom