>>>ohi! baba
askofu "na dhambi ijapokuwa nyekundu kama damu itasafishwa na kuwa
nyeupe kama theluji" basi na hivyo iwe kwa rugemalila na wenzake!
warejeshe hazina kwa moyo safi
mumebadili nyumba ya baba yangu kuwa pango la wanyang'anyi.
>>>ohi! baba
askofu "na dhambi ijapokuwa nyekundu kama damu itasafishwa na kuwa
nyeupe kama theluji" basi na hivyo iwe kwa rugemalila na wenzake!
warejeshe hazina kwa moyo safi
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???
Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.
Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????
Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?

@gollocho, siyo kweli . Sauli ni matakwa ya Wa Israel wenyewe kutaka kionglozi wa namna hiyo na Mungu hakusita kuwapa.Cha mAANA ni kwa Askofu Mwenyewe kutoa kauli kuona hizo fedha zilikuwa kwa kazi gani?. Kama ni za Kanisa je kazi ya kanisa imefanyika au katumia kwa manufaa yake.?. Askofu Mkuu wa Jimbo la Bukoba anataarifa ya fedha hizo kwenye miradi ya kanisa? au ni biashara binafsi kati ya Rugemalira na Kilaini mwenyewe?.Nionavyo hizi fedha za IPTL na Rugermalira zinaweza kuwa aibu na fedheha kwa ndgu zangu NshomileKuanzia kwa Majaji Wetu Prof. Ruangisa, Mujulizi, Prof Tibaijuka na wenzake .Lets wait and see what will happen later before 26/11/2014?Tatizo ni nyinyi waumini kujifanya mnajua sana kuliko wachungaji, mapadri na maaskofu, hivi wewe unajua maana ya chaguo la mungu, au unakurupuka tu kwa kuwa Kikwete ni kiongozi mmbaya? Hebu rudi kwenye biblia kasome kitabu cha 1 Samweli 8 na 9 utajua kuwa hata mfalme wa kwanza wa Israel,Saul, alikuwa chaguo la Mungu lakini hakuwa kiongozi mzuri kwani baadae alimuasi Mungu. Kwa hiyo kuboronga kwa Kikwete hakumfanyi yeye kutokuwa chaguo la Mungu.
Ungetoa masikitiko yako kwa kanisa katoliki kwa kutakatisha pesa chafu ningekuelewa.Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.
Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.
Tatizo ni nyinyi waumini kujifanya mnajua sana kuliko wachungaji, mapadri na maaskofu, hivi wewe unajua maana ya chaguo la mungu, au unakurupuka tu kwa kuwa Kikwete ni kiongozi mmbaya? Hebu rudi kwenye biblia kasome kitabu cha 1 Samweli 8 na 9 utajua kuwa hata mfalme wa kwanza wa Israel,Saul, alikuwa chaguo la Mungu lakini hakuwa kiongozi mzuri kwani baadae alimuasi Mungu. Kwa hiyo kuboronga kwa Kikwete hakumfanyi yeye kutokuwa chaguo la Mungu.
Msomi tena Askofu hawezi kuchukuwa pesa ni mtu wa mungu, angekuwa Muislam ningekubali.
Siwezi kukupinga juu ya hayo mengine uliyoandika kwa sababu sina uhakika.
Lakini kwenye ile kesi ya mwanzo kati ya TANESCO na IPTL, taarifa za BRELA ilionesha kuwa IPTL ilianza kwa mtaji wa TZS 50,000 tu (paid up share capital). Na baada ya hapo ikaweza kupata mkataba wa kuiuzia TANESCO umeme, mkataba wa mabilioni ya pesa. Huu ulikuwa ni mtaji wa kuanzishia kampuni lakini siyo uwekezaji katika mradi wa ufuaji umeme. Kulikuwa na dhana kuwa si jambo la kawaida kwa kampuni iliyokuwa na mataji mdogo kiasi hicho, kampuni ambayo ilikuwa hajawahi kufanya biashara yoyote hapa Duniani, kuaminiwa na kupewa tenda kubwa kiasi kile. Pia wakati wa uwekezaji katika mradi wa ufuaji umeme ilithibitika kuwa uwekezaji ulikuwa ni mdogo sana tofauti na Rugemarila alivyokuwa akidai.
Mafanikio ya biashara hayaangalii faida pekee yake bali na uhalali wa biashara yenyewe. Inawezekana Rugemarila amefanikiwa kupata faida kubwa lakini faida yenyewe inapatikana kwa mbinu chafu ambazo haziangukii kwenye misingi bora ya biashara, ni kama huu wizi alioufanya kwenye ESCROW, na kujipatia U$75 million. Ni dhahiri kampuni yake itaonekana kuwa na hela nyingi lakini je, tuite haya ni mafanikio katika biashara au mafanikio katika wizi kwa kupitia mwavuli wa biashara?
Mimi nashangaa madhehebu kuruhusiwa kufungua benki za biashara hapa nchini. Hivi hapo serikali inafaidi nini? Kwa sababu hizi tasisi za dini hazilipi kodi sasa kwa nini ziruhusiwe kufanya biashara? Kazi ya wamisionari na mashehe ni kueneza nelo la Mungu na si kufanya biashara wenye ulimwengu wao watakapokuja sijui itakuweje! Ni bakora kwa kwenda mbele.
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.