Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,517
- 860,567
Nauliza jee naye bila aibu amekubali ombi hilo la hovyo?[emoji23]Nimeona hii katika vyombo vya habari! Bila aibu mtumishi wa Mungu akisimama na kushauri aitwe Mama wa Taifa na watu waliovaa nguo za kijani wakashangilia sana akiwamo Mwigulu Nchemba ambaye almanusura ajisahau na kupanda juu ya meza utadhani Stars imefunga goli!
Nauliza jee naye bila aibu amekubali ombi hilo la hovyo?
View attachment 2784102
Ndio maana Mama Maria Nyerere akakataa ujinga ule wa juzi siku ya kumbukumbu ya kifo cha mumewe
Sent using Jamii Forums mobile app