Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Pumbavu ni wewe idiot ,utakufa Kwa chuki na Samia utamuacha akiitwa Mama wa Taifa,got it?
Kufa ni wajibu , hata wewe kesho unaweza kufa mdomo wazi, Shida nyie machawa na Makunguni wa ccm mnapenda kila mtu ajae upumbavu ambao mmeujaza kwenye bongo zenu,

Mwambie kiongozi wako ukweli kwamba hapa umefanya vizuri na hapa unaboronga wenda ukaonekana mtu bora sana mbele yake ,kwa Mungu wako lakini na kuitendea nafsi yako haki

Sasa nyie kwenu kila kitu Mwenyekiti wenu yupo sawa , Hamjengi ndo mnamharibia sana, Fanya siasa kama sehem ya kiburudisho ila sio kwamba iwe sehem ya kukupatia mkate wako wa kila siku,
 
Takataka 🗑️🗑️🗑️🗑️

Utakufa na wivu kabla ya siku zako
 
Mtoto afundishwe kingereza na kiswahili kama hao watoto wa vigogo kwa faida ya nchi na watoto.

Kwanini watoto wa viongozi wa serikali kwa sasa wanasoma shule ambazo zinafundisha kingereza kuanzia msingi tena wanalipa mamilioni? Kwanini usimuulize Mwigulu na mawaziri wenzake ? Je hawa watoto wa mawaziri wanatofauti gani na watoto wa Watanzania wengine? Kwanini wapate elimu tofauti? Je wenyewe ni wajinga au wanapoteza pesa kuwasomesha hizo shule ambazo zinafundisha kiingereza?

Tatizo kuna watu wajinga na wanatetea vitu ambavyo haviwasaidii wadau fungukeni macho mnachezewa kama watoto na hawa viongozi wanao wadanganya wana wapenda🤔

Abdul mtoto wa samia kasoma shule ya kata ipi??
Jifunze kupitia macho: uliona wapi mtoto wa kigogo aliesoma uko ulaya au international school ni muhandisi wa kutegemewa na taifa au Dakitari bingwa au Mwalimu bingwa wa masomo ya sayansi na hisabati au Mwanakilimo Bora au Mwandishi bora basi yeyote yule kwa faida ya JAMII weeee ULIONA WAPI.....???

Nilipofika chuo kikuu ndio nilipoanza kuwadharau waliosoma mashule ya POCHI NENE mwanzo nilijua ni mafundi kumbe kichwani yamejaza kizungu na uzungu mwingi mdomoni kwenye MASOMO chenga tu alafu yanalia lia msaada kutoka Kwa A boy from CHAKABOVU ada kwa mwaka elfu 20 tu na nitoa kidogo kidogo tena Kwa pinde kweli kweli 😁😁😁😁

Mengi yao ndio matembea uchi, mambo magumu hayajazoe kujipambania yanaamua kutoa utamu kwa marekcha ata mianaume inatoka nduki inaamua kukimbia kambi ya kiumeni 😁😁😁😁

Uwanaume kazi ndio mana vijijini ndani ndani mikoani ukoooo uwezo kuta choko, Machoko wengi ni wakishua kingereza kingi kama Kenya mpaka yanaandama kudai HAKI, wewe uliona wapi mwanaume anadai haki na kuuchukia Mfumo dume..??
 
Kufa ni wajibu , hata wewe kesho unaweza kufa mdomo wazi, Shida nyie machawa na Makunguni wa ccm mnapenda kila mtu ajae upumbavu ambao mmeujaza kwenye bongo zenu,

Mwambie kiongozi wako ukweli kwamba hapa umefanya vizuri na hapa unaboronga wenda ukaonekana mtu bora sana mbele yake ,kwa Mungu wako lakini na kuitendea nafsi yako haki

Sasa nyie kwenu kila kitu Mwenyekiti wenu yupo sawa , Hamjengi ndo mnamharibia sana, Fanya siasa kama sehem ya kiburudisho ila sio kwamba iwe sehem ya kukupatia mkate wako wa kila siku,
Nani anampinga mbowe...?? 🤔🤔
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mama wa taifa tunaye ambaye ni Bi.Maria Nyerere. Huyo mwingine hatumjui
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Ila KKKT mnatuangusha sana kwenye suala la kupigania ukombozi wa kifikra katika taifa hili. Na hii ni sababu ya njaa mpaka mchungaji unaongea utumbo huu unakuwa unawaza nini. Kwa kauli hii ngoja tusubiri kama serikali itamjibu mchungaji kuwa tusichanganye dini na siasa!
 
Usinifananishe Mimi na BITOZO Tafadhali...
Wewe ni nyumbu huna hadhi ya kufananishwa na Samia
20231017_101525.jpg
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mama wa Taifa ni Maria Nyerere!
 
askofu wakati anaongea hilo ubongo alikuwa amepeleka wapi?
 
Kwa hiyo mnapokonya hadi hadhi ya mama Maria Nyerere mnataka mjivike nyie.......mbona hii nchi imejaa vioja?
 
Tanzania Kwa asilimia 75 imejaza matutusa
Nimeona na kucopy mahali. Eti bora aitwe Mama wa kambo wa taifa!?
*********
Huyu amezungumza ni askofu mmoja, lakini waraka wa TEC ulisainiwa na Maaskofu 32
Hatukuona hii shida kukomaa na suala la DP World lilitoka kwa maaskofu pia.

Mama wa Taifa HAWEZI kuuza bandari zetu, hawezi kuwajali Waarabu wa Dubai kuliko sisi wazawa na kamwe hawezi kuwaua na kuwatesa ndugu zetu Wamaasai.
Ni ‘Mama wa Kambo’ a.k.a ‘Bi Tozo.’

Aliyetuletea hii culture ya kuabudu viongozi wa juu alitukosea sana,kusifu imegeuka ni kipimo cha kazi,ukweli umegeuka ni usaliti,msimamo ni ujeuri na kutetea kila jambo ni uzalendo..

Imefikia hatua hadi Uwaziri badala ya kuchagua mwenye uwezo na hiyo wizara wanawekwa wenye kusifu na kuabudu viongozi wa juu kama nchi tutachelewa sana.
 
Takataka 🗑️🗑️🗑️🗑️

Utakufa na wivu kabla ya siku zako

Ila KKKT mnatuangusha sana kwenye suala la kupigania ukombozi wa kifikra katika taifa hili. Na hii ni sababu ya njaa mpaka mchungaji unaongea utumbo huu unakuwa unawaza nini. Kwa kauli hii ngoja tusubiri kama serikali itamjibu mchungaji kuwa tusichanganye dini na siasa!
Hali ni mbaya sana, ukiona mpaka watumishi wa Mungu wanakua hivi ,
 
Mimi kwangu mama wa taifa ni Maria Nyerere, huyo wenu wa mchongo endeleeni naye...
 
Back
Top Bottom