Utakufa wewe mwenye chuki.Utakuja kufa kwa uchawa, maana kutwa unasifia ujinga
Uchawa tu!
Hana hadhi hiyo! Huyu Mchungaji Nafikiri PhD yake ni ya mezani kama ya maza!2025 hiyooo.... ikifika 2024 ni mwendo wa kujipanga.
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.
View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
![]()
Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...www.jamiiforums.com
Unataka katiba mpya yenye dira ipi au zipi..?? Au ndio unataka kanzu mpya shekhe yuleyule..??Bila katiba mpya Mama Samia hataweza kupata heshima kama hii. Kama Raisi anafikiria ushindi wake binafsi kuliko nchi huwezi kumpa cheo nna heshima kama hii. Uzalendo ni pale ambako unajali wengine kuliko manufaa binafsi. Huyu Mama anasita sita kwenye katiba ni sababu tosha ya kuonyesha yuko wapi.
Inaelekea Mama anaanza tamaa na inabidi tuanzekumuita Mama Addul maana ndiye tajiri wetu mpya
Samia muiteni Mama wa Machawa.Mama Yako wewe,Kwa mchango upi aliotoa kwenye Taifa?
Unataka katiba mpya yenye dira ipi au zipi..?? Au ndio unataka kanzu mpya shekhe yuleyule..??
Umeshindwa kutofautisha kati ya katiba na sheria (constitution vs Acts) 😁😁😁Katiba ni kila kitu sheria zenye tija kwa manufaa ya nchi yetu ili tuwweze kuendelea. Haya ndiyo nataka kwenye katiba mpya
1. Tume huru ya uchaguzi ambayo ambayo inawajumbe huru
2. Bank kuu huru yenye leongo kubwa na kuongeza ajira na kupunguza riba za mikopo ili kukuza kuweka mfumo wa kisasa wa bank.
3. Ardhi iwe binafsi ili uwekezaji wa ndani na nje uongezeke
4. Dual Citizenship hasa kwa diaspora kama ya Kenya ambayo tayari imeshajaribiwa na kuonyesha haina madhara yeyote. Hii itaongeza uwekezaji kama kwa wenzetu
5. Mahakama ambayo majaji wanapendekezwa na bunge lakini wanahakikiwa na Bunge
6. Kitengo cha rushwa chenye haki ambacho hakitegemei Raisi. Yaani kiwe kitengo huru
7. Sheria mpya ya kuharakisha kesi na haki kutolewa na sio mfumo wa sasa wa miaka kuamuliwa kwa kesi
8. Wafanyakazi wa serikali wanaobainisha kupokea rushwa wasiruhusiwe kugombea uongozi tena
9. Serikali ya majimbo na wakuu wachaguliwe sio kuteuliwa
10. Kufundisha Kingereza na Kiswahili kuanzia darasa la kwanza.
Je wewe unataka nini? Au kila kitu ni vichekesho na madongo!
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.
View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
![]()
Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...www.jamiiforums.com
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.
View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
![]()
Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...www.jamiiforums.com
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.
View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
![]()
Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...www.jamiiforums.com
Siyo kila mwenye PhD ( Doctorate ) ana Akili na unaweza kukuta Wengine pamoja na kuwa nazo ( Kuzimiliki ) ila wana Mafaili yao Mirembe na Lutindi Mental Hospitals.Mwigulu ameamua kutumia hii Ziara kuiteka Nyara kwa kubagua hata baadhi ya madhehebu kwa sababu tu yanapinga UWEKEZAJI BANDARINI …, lakini ameenda mbali kufikia kutumia dhehebu lake kufikisha maatamanio yake ya kisiasa.
Umeshindwa kutofautisha kati ya katiba na sheria (constitution vs Acts) 😁😁😁
Asa katiba (Sheria) ikaseme mtoto afundishwe kingereza kwa manufaa ya nani.? Jamii inatumia kiswahili wewe na kingereza unaenda kutumikia jamii ya wapi..? Kingereza ni lugha sio elimu inabidi kiondolewe kama lugha ya kufundishia na kibaki kama somo tu.
Alafu nenda kajifunze Tofauti ya katiba na sheria na kanuni ndio uje kubato na mimi la sivo wewe ni TAKATAKA.
Kwa nini asiitwe mama wa CCM tuu? Unampa title kubwa hivyo failure? Mnataka 2025 nchi hii iwe na mama wa Taifa aliyeshindwa uchaguzi mkuu?Na wewe kuwa chawa wa Mbowe/Lisu