Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.


My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Yap ule ugonjwa wa kujipendekeza una enea kwa kasi. Something need to be done kwakweli elese tutakuwa na kizazi cha ajab mbeleni
 
Yap ule ugonjwa wa kujipendekeza una enea kwa kasi. Something need to be done kwakweli elese tutakuwa na kizazi cha ajab mbeleni
Si wanasema askofu ni mtu wa karibu na Mungu na analosema anakuwa kapata maagizo toka mbinguni?
 
Ni aibu sana kuidumbukiza taasisi nzima kwenye dimbwi la uchawa
 
Wapi wamesema hivyo? Na wapi imeandikwa?
Ndio tumefunzwa hivyo, kwani mapokeo yote ya kuombea wafu wawekwe mahali pema peponi imeanikwa wapi?
Kuwaambia mapadri wasioe imeandikwa wapi?
Kubatiza watoto wadogo imeandikwa wapi?
Kabariki ndoa imeandikwa wapi?

#Kaa kwa kutulia, mambo ya dini ni mapokeo ya Wazungu na waarabu, tuyafuate tu!
 
Back
Top Bottom