Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Hilo jina halitolewi na wala ugali bali wazalendo! Wakati wa Mwalimu tulikuwa hata ugali hatuna lakini alibaki kuwa baba wa taifa.

Sasa tofauti yake na Kikwete ni ipi zaidi ya jinsia

Sisi wakatoliki hata waraka wetu wa bandari hajajibiwa eti Mama wa taifa. Na Mama wa Abdul atakuwa nani?
1697473835136.png
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

1. Mama wa Taifa ni Maria Nyerere.
2. BIBI WA TAIFA ni BI TITI MOHAMMED
3. Shangazi wa Taifa ni FATMA KARUME[ Wakili Nguli].
4. Dada wa Taifa Mange Kimambi/ Maria Sarungi.
5. Mama Mkwe wa Taifa ni Mama Dangote/Daimond:-Huyu tumempa hii nafasi kwakuwa mwanae Kapita na watu ambao sasa wana vyeo vya kisiasa, wengine watoto wa waimbaji, amepita na yule wa Uganda, amepita na yule wa Kenya, amepita na yule wa Nigeria na bado ana katoto wa Yule wa Zanzibar.
 
Huyu ni juha. Unacheka na wezi ambao wanaliibia taifa.
Unawapa hela watu za nini.?
Mfundishe mtu kuvua samaki.
Haina maana. Hata Bill Gates alikuwa anawasaidia,ameshindwa.
Ameamua kuchinja watu na Covid-19.
A leader must be clever,ili aweze kuwanoa wananchi na akili yake.
Halafu vyombo vyetu vya usalama vinafanya hobby ya kuwasapoti viongozi feki.
The more fake the leader,the more money there is to be made by flattering him.
 
KKKT nao wapunguze maneno. Mama wa Taifa ndio ujinga gani?. Afanye kazi kwanza cheo kitakuja chenyewe.
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

Akiitwa mama wa Taifa ndo itasaidia nini. Mafuta yatashuka bei. Si mnampa ma PHD kila kukicha hayatoshi?
 
Mama Yako wewe,Kwa mchango upi aliotoa kwenye Taifa?

Utamlinganisha mama Maria na huyo Rais wako? Tatizo mnadharau Sana. Rais wa miaka mitatu mmesha muona Mungu. Endeleeni tu na kiburi chenu bado hamjajifunza. Kuna Rais hapa chawa wake walimfananisha na Nyerere na hata kumdhihaki, ila leo wapo kimya.
 
Samia is doing wonders hakuna wa kumfikia Hadi Sasa.

Huyo unaemtaja wewe sijui ana mchango gani maana hata kupika alikuwa hampikii Mwalimu 😁😁
 
Issue kubalance, Hilo jina la mama wa Taifa linamstahili?. Bora wangesema Bibi Titi Mohamed au Mama Nyerere .
Linamstahili sana tuu

Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ,VP wa kwanza Mwanamke Tzn
 
Majibu Kama haya ndio yanatudhohofisha Kama nchi. Ugali unapatikana kwa juhudi binafsi ila katiba inapatikana kwa utashi wa pamoja akiwamo Rais.
Ili Katiba Mpya ilete jipya lipi? Katiba Mpya itazuia Rushwa Mahakamani? Itazuia Rushwa Polisi na barabarani? Katiba Mpya italeta Maadili?

Mpaka hapo Katiba Mpya ni scam
 
Back
Top Bottom