Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Nimeona na kucopy mahali. Eti bora aitwe Mama wa kambo wa taifa!?
*********
Huyu amezungumza ni askofu mmoja, lakini waraka wa TEC ulisainiwa na Maaskofu 32
Hatukuona hii shida kukomaa na suala la DP World lilitoka kwa maaskofu pia.

Mama wa Taifa HAWEZI kuuza bandari zetu, hawezi kuwajali Waarabu wa Dubai kuliko sisi wazawa na kamwe hawezi kuwaua na kuwatesa ndugu zetu Wamaasai.
Ni ‘Mama wa Kambo’ a.k.a ‘Bi Tozo.’

Aliyetuletea hii culture ya kuabudu viongozi wa juu alitukosea sana,kusifu imegeuka ni kipimo cha kazi,ukweli umegeuka ni usaliti,msimamo ni ujeuri na kutetea kila jambo ni uzalendo..

Imefikia hatua hadi Uwaziri badala ya kuchagua mwenye uwezo na hiyo wizara wanawekwa wenye kusifu na kuabudu viongozi wa juu kama nchi tutachelewa sana.
Mama wa Kambo, dah
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Ukiwa kwenye madaraka, wapambe, ambao wengi ni waongo na wachumia tumboni, wanatabia ya kukuaminisha una nguvu za kufanya lolote unalotaka.

Chonde chonde Rais wangu, usije kuingizwa chaka...acha muda uamue. Hawa wanaokuimbia hizi sifa leo, wakati kuna mengi yana changamoto, wengi ni sababu wananeemeka. Isije kuja kesho wakakengeuka.

JPM aliambiwa utake usitake uendelee kuongoza....Mzee Mwinyi enzi zile walimwambia tunataka usitoke, uendelee kuongoza maana umahiri wako haujawahi kuonekana.

Ila haikuwa hivyo. Mipango na maarifa ya Mwenyezi Mungu inazidi ya wanadamu. Tuombe hekima ya Mwenyezi Mungu itutangulie katika yote. Uganga wa ramli na matambiko hayana majawabu kwenye haya mambo ya msingi ya maisha

View: https://www.youtube.com/watch?v=4VJ0x4a6LKI
 
Kwani Kuna sehemu Samia amesema Amemaliza Changamoto? Na in fact juzi alisema tabia ya Maendeleo ni kwamba unamaliza jambo A linaibuka jambo B so hakuna kitu kama Changamoto kuisha.

Ila hii haiondoi ukweli kwamba mambo mengi basic Samia ameyafanya vyema zaidi na kushinda watangulizi wake.

Tofauti ya Samia na wengine ni kwamba Samia anaijua kutafuta pesa ana sio hadithi na propaganda
 
Ni mbaya kwako au Kwa nani? Ulitaka waweje? Wafuate unachoona kizuri kwako au? 😂😂😂😂
Ukiwa na darasa la watu hata kumi , kila ukitoa somo au mada flani nakuuliza mmeelewa kila wakati wote wanasema ndio, hata swali hamna , jua moja wenda mwalim hueleweki au wanafunzi wako ni vilaza , bora liende tu
 
Ukiwa kwenye madaraka, wapambe, ambao wengi ni waongo na wachumia tumboni, wanatabia ya kukuaminisha una nguvu za kufanya lolote unalotaka.

Chonde chonde Rais wangu, usije kuingizwa chaka...acha muda uamue. Hawa wanaokuimbia hizi sifa leo, wakati kuna mengi yana changamoto, wengi ni sababu wananeemeka. Isije kuja kesho wakakengeuka.

JPM aliambiwa utake usitake uendelee kuongoza....Mzee Mwinyi enzi zile walimwambia tunataka usitoke, uendelee kuongoza maana umahiri wako haujawahi kuonekana.

Ila haikuwa hivyo. Mipango na maarifa ya Mwenyezi Mungu inazidi ya wanadamu. Tuombe hekima ya Mwenyezi Mungu itutangulie katika yote. Uganga wa ramli na matambiko hayana majawabu kwenye haya mambo ya msingi ya maisha

View: https://www.youtube.com/watch?v=4VJ0x4a6LKI

Kweli mkuu kila awamu huwa kuna wahuni ,kwa maslai mapana ya matumbo yao, hawa watajipendekeza ,watakupa sifa zote , watagalala, watatafuta vimajina na vimakundi vya kukupamba ili ilihali mkono unaenda kinywani,

Hata enzi za mwalim Nyerere walikuepo ,ila mzee alishutukia mchezo. Ni watu hatari sana kama kiongozi hataweza kuwasoma na kuwakata mikia.
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Huenda Phd ya huyu askofu ni sawa na ile ya Dr Musukuma au Dr Lemmy
 
Issue kubalance, Hilo jina la mama wa Taifa linamstahili?. Bora wangesema Bibi Titi Mohamed au Mama Nyerere .
Kwani nyerere ni baba wa taifa gani? Tanzania, zanzibar, tanganyika au wa muungano?
Kama wa muungano basi mama nae anastahili, ila kama ni tanganyuka basi tuwape hao uliowataja
 
Kuna thread yangu imefutwa humu , nimeelezea malalamiko ya mapadre wa TEC Kutoshirikishwa huko singida …ikielezwa kuwa ina shinikizo la waziri .. kutokana na Tamaa yake ya kutumia mikutano hiyo kwa ajenda binafsi za bandari , kumlaghai mama kwa kumpa jina ambalo hajaafiki la mama wa taifa …
kufuta thread haisaidii na mtu haiwezi kuja kuwa rais wa nchi kwa kuanza tu kuwatenga TEC kwa kuwa tu wanapinga bandari
 
Back
Top Bottom