Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,734
Vitu vingine achana navyo..Nimeona hii katika vyombo vya habari! Bila aibu mtumishi wa Mungu akisimama na kushauri aitwe Mama wa Taifa na watu waliovaa nguo za kijani wakashangilia sana akiwamo Mwigulu Nchemba ambaye almanusura ajisahau na kupanda juu ya meza utadhani Stars imefunga goli!
Nauliza jee naye bila aibu amekubali ombi hilo la hovyo?View attachment 2784102
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.
View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
![]()
Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...www.jamiiforums.com
Unaona taifa likinajisiwa unasema achana nayo?Vitu vingine achana navyo..
Amka acha kulala wewe! Unajua maana ya neno mama wa Taifa?Haters mpo tabuni sana haki ya nani
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.
View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
![]()
Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...www.jamiiforums.com
Hizi post mtakuja kuzikimbia/kuzikana mbeleni.Naunga mkono hoja
P
Kama nisingeiona comment yako hii, ningekuhesabu kama mmoja ya watu wenye akili sana!Amka acha kulala wewe! Unajua maana ya neno mama wa Taifa?
Tulishindwa kuwaita kina Bibi Titi pamoja na ngarambe zote alizopata wakati wa ukoloni tuje kumuita anayetulaza giza nchi nzima? Anayefukuza Maasai kwao anawapa wageni?
Haitoshi hajui hata baraka ya kuwa na bandari hadi anaimilikisha jumla kwa wakuja?
Acha kulala!
K.kkT na chadem yao wamekuwa wapumbavu sana kwa kweli
Wengi fiksi tuSiyo kila kiongozi wa dini ni mtumishi wa Mungu