Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Mkuu gwajima sio kiongozi Wa dini Bali nimpiga dili tu sio ITV peke hata Azamtv wamepotezea kwakua hamna chamana alicho ongea
 
Nimemsikiliza...nimetathmini hoja zake na kuhitimisha kuwa hazina ushawishi wala ushahidi usio na shaka. Amepea kabisa kukabili mapigo ya Kamanda Slaa.
Alichofanikiwa ni kupigiwa makofi na wafuasi wa kanisa lake aliokuja nao ukumbini, ili kuleta kiinimacho kuwa waandishi wa habari walimpigia makofi!!!
Kwahiyo ndo mwanaume umemwaga point hapo, yaan umeshirikisha ubongo to the maximum! Kwako kupigiwa makofi ni bonge la issue! Dah!
 
Mtumishi wa Mungu anasema ana makombora yanayosubiri. Dini hizi!!
 
Sishangai kwani ukumbi ulijazwa na waumini wake waliokuwa wakimpiga makofi km vikaragosi!
 
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
duh!! kumsikiliza gwajima muda unapote! kumsikiliz slaa muda haupotei!!fikiri kabla ya kupost!! ,
 
faiza foxy tumia elim dunia kumtoa mapepo huyu Josephine-msaada wako unahitajika
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wazalendo tumeshaisikia,tukaisoma, na kuitazama kupitia whatsapp, Youtube, etc ...
 
Hiyo ilitakiwa TBC wairushe na kuirudia ili tuisikie vyema wananchi
 
askofu ama mchungaji,hapaswi kutake side,atakuja slaa atakuambia matatizo yake binafsi na ya kifamilia,hiyo noi siri yako askofu,atakuja lowasa nae atakuambia mambo yake....hao ni kondoo wako na wanaamini siri zao kwako ziko salama.....


sasa ewe mchungaji fake KUMBE HUWA UNAWARECORD WAUMINI WAKO?....

ndugu zangu wagalatia,hamuoni huyu mtu hafai kabisa?,
baba mchungaji,sijui askofu,unaenda kurusha mipasho kwa muumini wako bila hata aibu ,kwani yesu aliwaambiaje kuhusu kusamehe....

ewe mchungaji,sijui askofu,hata kama slaa kakuita mshenga,kweli huwezi kusamehe kama yesu alivyokuelekeza,,,,,,,,,AU LABDA yesu unaemuabudu ni yule yesu wa nyanzaland na si nazarethi..


wagalatia amkeni bana ,huyo mkongomani sio mtumishi wa mungu asee

Kuna tatizo kubwa ktk ubongo wako! halaf ni mtu wa kukurupuka huwezi tulia na kumsikiliza mtu kwa makini kabla ya kubweka! Hayo aliyoyasema Gwajima kuh maongezi yake na Dr slaa na mkewe.. Yalikuwa ya kihuduma... Au kikawaida!? Gwajima alikuwa family friend wao so kulikuwa na kushauriana, story za hapa na pale nk, sio all the time kihuduma(mchugaji na muumini). Na aliyokuwa akirekodi ni ya kisiasa sio Maombi wala confession! Lazma aliona dalili za ukigeugeu ndo maana akarekodi... Sasa leo yametokea, nani angemwamini bila ushahidi! Ww bwana km umeboreka kale Malimao
 
Dr Slaa amevuliwa Nguo wazi
Nimesikitika sana kuwa walinzi wa nyumbani kwa Slaa waliwekwa na Gwajima,wafanyakazi wa ndani walitoka kwa Gwajima.Gwajima anajua sehemu kubwa ya maishaya Slaa.Yaani Dr akiwa home lazima Gwajima anajua as walinzi wake ni vibaraka wa Gwajima.Kweli Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu
 
Back
Top Bottom