Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Alichokisema Ngwajima Si Kutishia Bali Ni Kuweka Usahihi Wa Mambo; Dr. Slaa Kutumika Na Usalama wa Taifa Kwa Ajiri ya Kuinusuru CCM.
Logically Usalama wa Taifa Hawapaswi Kujihusisha Na SiaSa ; Wawe Usalama wa Taifa Na Sio Usalama wa CCM. Je

Na nyie watu wa habari mnatumika na nani? sema!
 
lowasa na gwajima watu wa kuogopwa sana, wanatugawa watanzania na kupotosha umma. nikipata hela za kufungua kesi mahakamani nitawashitaki hata baada ya uchaguzi. naipenda Tanzania na ninawajibu wa kuilinda na kuitetea nchi yangu
 
achaneni na waongo wa uchaguzi. Mpigie kura mgombea ambaye historia yake ya uongozi imetukuka na haina uwalakini.


yeeeeeees!!!!!!!! Umeongea vema sana. Bila shaka umemaanisha lowasa. Lowasaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.

Shida yako unataka kushindana na mtu ambaye sio saizi yako. TUNA..., TUNA..., TUNA..., wewe na nani? Mwenzio kasema NITA..., akimaanisha anajimudu.
 
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
kutoka Kwa Dr slaa..pesa yote alopewa lazma tugawane..kura lowasa kula magufuli
 
Mtu mwingine walikuwa nae walipokutana kibo complex wakiwa ndani ya gari lakini walipokutana rose garden walikuwa wawili tu na soda zikanunuliwa na gwajima ila hajasema kama na yeye alikuwa na lake ambalo inawezakana alikuwa anataka kumgeuka "swahiba" wake ndio maana josephine hakumwelewa

Haya endelea na porojo na propaganda zako labda utafanikiwa kuwatoa watu nje ya mada, ndio zenu
 
Usitufundishe woga weee, usalama Wa taifa ni nini?! Kama ni genre la majambazi na majangili sawa tutawaogopa lakini Kama ni chombo cha nchi kinchopashwa kuwatumikia wananchi wote kwa weledi basi hatuwaogopi, tutawasuta na kuwaonya na kuwakosoa kila wanapokwenda mrama. Hatuogopi chombo chochote cha dola Bali tunatii sheria na utawala bora, wakicheza mafyingo tutawananga hadharani Kama alivyofanya Askofu Gwajima, a big up Gwajima, umewaumbua kisawasawa!


=tang'ana;13925074]Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.[/QUOTE]
 
Nadhanı Gwajima na wachangiaji wengne hapa hawajui nani usalama wa taifu.Wanadhanı usalama ni watu flani hv invisible.Hata wewe ukitishiwa,una haki ya kuomba kulindwa binafsi na afisa usalama.
 
Tukemee Siasa kwenye Nyumba za Ibada pamoja na kushirikisha Viongozi wa Dini kwenye Kampeni. Mataifa yaliyosambaratika yalianza taratibu kupuuza misingi ya namna hii matokeo yake mataifa yakaingia kwenye Vurugu na kusambaratika mpaka leo. Iwe Lowassa au Magufuli au Mgombea yeyote tusishabikie Sumu tusiyoijua madhara yake.

hivi vidini vya kiganga vya kienyeji ndio vinaleta shida bora vifutwe vyoote
 
Waandishi wa habari wanapiga makofi na vigelegele kwenye press conference? Only in Tanzania.

Kwahiyo ndo umeliona hili leo? Siku ile Dr.mihogo pale serena kipindi waandishi wakimshangilia ulikuwa hulion mkuu?
 
Ryaro wa Ryaro 17:01 Today
Alichokisema Ngwajima Si Kutishia
Bali Ni Kuweka Usahihi Wa
Mambo; Dr. Slaa Kutumika Na
Usalama wa Taifa Kwa Ajiri ya
Kuinusuru CCM.
Logically Usalama wa Taifa
Hawapaswi Kujihusisha Na SiaSa ;
Wawe Usalama wa Taifa Na Sio
Usalama wa CCM.
sema lingneeee

unaushahidi peleka nec
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.

Acha Upuuzi wewe; Hauna Lolote Uliloliogea Hapo..
 
Kwahiyo ndo umeliona hili leo? Siku ile Dr.mihogo pale serena kipindi waandishi wakimshangilia ulikuwa hulion mkuu?
Wote hao waandishi, waliokuwepo huko sijui Serena, kwa huyo Mbatia na sasa Gwajima ni makanjanja tu. Mwandishi wa habari hautakiwi kuonyesha wazi ushabiki kama wafanyavyo waandishi wa Tanzania. Bado tuna safari ndefu.
 
hajawatishia,ila amewaeleza ukweli kwamba wao wanatakiwa kuwa neutral na sio kuegemea upande wowote,
lakini kingine amewatishia kama kiongozi wao wa kiroho,
kama unalaziada uliza tutakujibu

Yeye Mbna Kama Kiongozi Wa Kiroho Hayupo Neutral?
 
Back
Top Bottom