Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Unakumbuka ile thread yako ya Mgombea urais UKAWA atapatwa sijui na nini kuanzia jumatatu, baada ya wewe kupenyezewa........issue sasa kwa kihaya watu husema hivi "Omuhigo gwainduka akami kabingembwa" Yaani mawindo yamebadilika, sungura anamfukuza mbwa..........

Tulia hivohivo.............
Wakola kyoma....hahahaha..akami...
 
Sımtofautishi Gwajima na yule Mkenya aliyekuwa anajinadi kuwa yeye ndiye Mungu!Eti gwajima naye Askofu, labda askofu.
 
Mwaka huu Viongozi wa Kikristo imekuwa Ruksa kuonekana wanafanya Kampeni

Kwani kuna aliyekataza viongozi wa Kiislamu kushiriki kampeni za Uchaguzi?

Leta hoja sio porojo!!
 
Mimi simuelewi kabisa huyu Gwajima, sasa yy ni mchungaji/au ni kada wa Chadema, anaongea mambo ya kisiasa kabisa na kutetea hija za kisiasa wakati yeye ni mtu wa dini, au ndo ametumwa na CHADEMA katika harakati za kuzima hoja za Slaa, anajimaliza kabisa kiroho, na wala waumini wenye uelewa wasigeweza kumuamini tena....ya kaisari mwachie kaisari na ya Mungu ampe Mungu

Mimi kanipa imani kubwa tena nina mpango wa kuanza kuabudu kanisani kwake.
 
kwa ushauri tu,ngwajima ni tapeli lile,lowasa angepata urais ndo mgejua rangi halisi za hawa watu,,,,ila ngwajima atafute kiwanja cha kanisa lake,pale tanganyika packers sidhani kama atapatumia tena....
 
Namuona Mungu akikasirika. Je muumini mmoja anapovuliwa nguo na mchungaji wake yeye afurahie? Je kondoo mmoja anapopotea siye bora kuliko kondoo 100 waliopo zizini? Najuta kutegemea wachungaji ngoja nife nitaombewa na mwanangu
 
Kwa taarifa yako baada ya mkutano wa Askofu Mkuu Gwajima Dr Mihogo kakimbilia USA kaona hana ubavu wa kujibu nondo kwakuwa tayari zimerekodiwa na huo ndio ulikuwa ushahidi mzito ambao Dr hakuwa tayari kukutana nao.


GWAJIMA HANA SIFA YA KUWA MCHUNGAJI.

HUWEZI KUWA MCHUNGAJI HUKU UNAREKODI MATATIZO ZA WASHIRIKA WAKO KWA NIA OVU NA SIO KWA USHUHUDA WA KAZI YA MSALABA.

HUWEZI KUWA MCHUNGAJI HALAFU UNATANGAZA MATATIZO YA WASHIRIKA WAKO, MFANO ALIVYOMDHALILISHA JOSEPHINE KUWA ANA MAPEPO.

AMESEMA JOSEPHINE HASTAHIKI KUWA FIRST LADY KWA AJILI ANA MAPEPO. YEYE SI MCHUNGAJI TENA ANAFUFUA WAFU, KWANINI HAKUYATOA???

YEYE NI MCHUNGAJI, NA KAMA ALIONA NYUMBA YA DR. SLAA INA SHIDA SI ANGEWAOMBEA.

HUYU BWANA ALILISEMA KANISA KATOLIKI NA ALIFIKA MAHALI AKAMTUKANA MPAKA KADINALI PENGO, LEO ANASEMA RC NI KANISA VERY CREDIBLE???

Queen Esther





Leo Jumanne Septemba 08, 2015 Askofu Gwajima anaongea na waandishi wa habari akitoa maelezo juu ya alichokisema Dk. Slaa wakati anaongea na waandishi wa habari pia kutoa maelezo ya uhusikaji wake kwenye tukio husika.
===========
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.



Povu jingi la nini mzee? Acha kujitumbua usaha hadharani...

Suala la Lowassa kusafishiwa nyota yake ni kweli aisee mana nyota ya Lowassa imeng'aa sana nampongeza sana Askofu Gwajima kwa jambo hili.

Nawashauri watu wote ambao nyota zao zimeibiwa wafike kanisani kwa Askofu Gwajima zitang'aa sana kama alivyong'aa Lowassa
 
NCHI HII KWELI IMEINGILIWA....HUYU NAYE ANAYEDILI NA MISUKULE NI JEMBE!!! KWELI MKAPA ALIKUWA SAHIHI!!!

Imagine Huku Lowasa..... Kule Sumayi KIROHO Wakisimamiwa na Gwajima...... Hatareee!!!! NCHI Imekufa!!!

Na hii ya watu makini mbona inanuka. Propaganda hazitawasaidia. Wambieni watu mmefanya nini ili mstahili kuchaguliwa tena.
 
Mkuu...unajua alichofanya DR SLAA kumtuhumu GWAJIMA nikitu kibaya sana....ikiwa ni MTU anaeyajua yake mengi....Hapa Slaa ameaibika

Ni kweli mkuu Slaa alikosea sana yeye angemshambulia Lowassa na chadema ingetosha.
 
Hivi hao wafu anaowafufua yeye walizaliwa na nani? Waliwahi kufanya kazi popote pale duniani? Waliwahi kuzaa, kuoa au kuolewa? Je vibali vya mazishi alitoa nani? Baada ya kufufuka hivi huwa wanakaa wapi, wanaendelea na shughuli zipi za maisha? Nisaidieni
 
fake pastor, simwamini gwajima hata kidogo, toka amtukane Pengo nikaona askofu wa uongo, dini na siasa havichanganyikani. Mathayo 24:11/matthee 24:11

Hata wayahudi hawakumuamini Yesu aliposema yeye ni Masihi.

Kama Yesu alikataliwa itakua Askofu Gwajima?

Haha.... Mtaisoma namba mwaka huu na ujinga wenu
 
Kwa kuwa Slaa alisema anapendelea kusoma jamii forum, naomba akanushe hisia zangu nilizonazo juu yake,
-Alikuwa padre na akaacha baada ya kutoelewana na Mafundisho/mfumo wa Kanisa Katoliki,
-Akahamia kwenye siasa, na akaangukia CCM. Hakukaa sana, nadhani pia hawakuelewana - walitofautiana na matakwa
yake.
- Akahamia CDM, nako akahitilafiana na uongozi. akaamua kuachana na siasa. Siyo hiyo tu,
- Alipoacha upadre, akaoa mwanamke ambaye amezaa naye, naye pia wakahitilafiana, akachana naye.
- Sasa hivi yupo na mwanamke mwingine. Huenda naye ataachana naye siyo siku nyingi.
Trend hii ya maisha yake inaonyesha huyu bwana alivyo, hawezi kukaa mahali akakubaliana na mawazo ya wengi. anataka ya kwake ndiyo yaheshimiwe tu. Hii siyo demkrasia. Wakati mwingine inabidi uheshimu mawazo ya wengi.

nasubiri maoni yake na mashabiki wake. Huyu bwana ni dikteta, anapenda anayopenda ndiyo yawe.
 
Huyo aliesema kuhusu ufufuo arudi shule mana ufamu wake mdogo sana au huwe unasoma post kwanza usikurupuke
 
Kweli kibanda cha nyasi kimeingia moto, naamini Dr Slaa hatajaribu kupita tena kwenye media na magazeti kumsema mtu kwa mambo yake leo kuwekwa hadharani ni aibuu.

Kumbe na hawa viongozi na wao wana mambo ya uswahilini namna hii. Dr Slaa kumbe hakuwa na strategy yeyote muda wote aliokuwa chadema kwenye maamuzi yake na chama kumbe ni shauri kwa bibi. Inaskitisha sana
 
Kwani kuna aliyekataza viongozi wa Kiislamu kushiriki kampeni za Uchaguzi?

Leta hoja sio porojo!!

nasikia lowasa aliwaahidi hawa maaskofu matrion ya hela iwapo atabahatisha kuwa rais....ndo maana maaskofu wanahaha kumwingiza lowasa ikulu....
siku si nyingi mtaona press ya kakobe nae akimwaga kampeni....
 
Back
Top Bottom