Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

A grave miscalculation by ccm! For sure they regret to involve Slaa in the whole issue of trying to keep their position as a ruling party !
 
Huyu padri anayejifanya msafi leo kashikwa pabaya.. kuanzia kuiba mke..kusali upadri wake.. kupelembeshwa na kimada wake.. tena Gwajima anakwambia na bado ana nondo za kufa mtu..
 
Kama Gwajima ana nafasi kubwa zaidi ya Mwenyekiti wa chama basi CDM na Ukawa kwa ujumla mnapoelekea ni kubaya sana, sasa hivi Mbowe hana sauti hapo ni wamiliki wapya wa chama ndio wenye sauti

Gwajima alishutumiwa yeye Binafsi....Gwajima hajaongea kwa niaba ya CHADEMA

Ana haki ya kujitetea

Mtuhumu aliamua kwenda kwenye Personal lives asilalamike maisha yake binafsi yanapomulikwa

Usipende kufanya Mambo usiyopenda kufanyiwa
 
Mchungaji badala ya kujibu namna alivyohusishwa kisiasa anaongelea habari ya mapepo na matatizo aliyoambiwa kama kuhani .....huyu angekuwa Padre angewajibishwa bila ushahidi wa ziada ...lakini kwa vile ni Yale makanisa ambayo hakuna wa kuhoji ataendelea kusomba kondoo .....
 
Pole slaa! Suluhisho ni moja tu, tubu!! Mungu, chadema na watanzania kwa ujumla watakusamehe!
Vinginevyo biblia inasema "hakuna amani kwa wabaya maana ni kama bahari iliyochafuka .......... "
 
kwa ushauri tu,ngwajima ni tapeli lile,lowasa angepata urais ndo mgejua rangi halisi za hawa watu,,,,ila ngwajima atafute kiwanja cha kanisa lake,pale tanganyika packers sidhani kama atapatumia tena....

Hata hujui kinachoendelea kumbe kwa taarifa yako pale alishahama kitambo sasa yupo ubungo.
 
Huyo aliesema kuhusu ufufuo arudi shule mana ufamu wake mdogo sana au huwe unasoma post kwanza usikurupuke

Hahaaa jamani kweli mimi sijaenda shule. Sasa wewe uliyeenda shule somo la kutafakari hukuhudhuria kabisa mkuu. Tafakari!
 
Hivi hao wafu anaowafufua yeye walizaliwa na nani? Waliwahi kufanya kazi popote pale duniani? Waliwahi kuzaa, kuoa au kuolewa? Je vibali vya mazishi alitoa nani? Baada ya kufufuka hivi huwa wanakaa wapi, wanaendelea na shughuli zipi za maisha? Nisaidieni

yule ni tapeli,,,,nashindwa kujua waandishi wa kibongo nao fakefake tu na certificate zao za journalism...hii ishu ukiifuatilia lazima huyu jamaa ateme mamilioni...
sasa waandishi uchwara kazi kulia maisha magumu,wakati kuna scandal za kuibua na ukapiga pesa kama huna akili nzuri
 
nasikia lowasa aliwaahidi hawa maaskofu matrion ya hela iwapo atabahatisha kuwa rais....ndo maana maaskofu wanahaha kumwingiza lowasa ikulu....
siku si nyingi mtaona press ya kakobe nae akimwaga kampeni....

Padri slaa ameshikwa pabaya..ccm mtafuteni mwingine huyo padri kakanyagwakanyagwa leo
 
Huyo sio Mchungaji wala bishop ni tapeli aliyebeba anaowatapeli kila siku (waumini wake) kwenda kumshangilia akimwaga uchafu wake. Mimi nina imani walioenda kumshangilia wameshapata ujira wao. Na walioenda wakafikiri atajibu hoja, wamepoteza muda wao bure. Shame on you bishop, siku nyingine jaribu kuficha upumbavu wako.

Kama wachungaji na maaskofu wenyewe ndio hawa aina ya akina gwajima tunaowategemea kutupeleka kwa mungu, basi hakuna atakayefanikiwa kuuona ufalme wa mungu
 
Mchungaji badala ya kujibu namna alivyohusishwa kisiasa anaongelea habari ya mapepo na matatizo aliyoambiwa kama kuhani .....huyu angekuwa Padre angewajibishwa bila ushahidi wa ziada ...lakini kwa vile ni Yale makanisa ambayo hakuna wa kuhoji ataendelea kusomba kondoo .....

ewe matakatifu..padri slaa hukumuona..mbona ulikaa kimya
 
Huyo sio Mchungaji wala bishop ni tapeli aliyebeba anaowatapeli kila siku (waumini wake) kwenda kumshangilia akimwaga uchafu wake. Mimi nina imani walioenda kumshangilia wameshapata ujira wao. Na walioenda wakafikiri atajibu hoja, wamepoteza muda wao bure. Shame on you bishop, siku nyingine jaribu kuficha upumbavu wako.

Kama wachungaji na maaskofu wenyewe ndio hawa aina ya akina gwajima tunaowategemea kutupeleka kwa mungu, basi hakuna atakayefanikiwa kuuona ufalme wa mungu

Uzuri swala la imani ni hiari, kama unafikiri kwa Mungu utapelekwa na askofu basi mbingu utaisikia bombani tu!
 
Kwa taarifa yako baada ya mkutano wa Askofu Mkuu Gwajima Dr Mihogo kakimbilia USA kaona hana ubavu wa kujibu nondo kwakuwa tayari zimerekodiwa na huo ndio ulikuwa ushahidi mzito ambao Dr hakuwa tayari kukutana nao.


GWAJIMA HANA SIFA YA KUWA MCHUNGAJI.

HUWEZI KUWA MCHUNGAJI HUKU UNAREKODI MATATIZO ZA WASHIRIKA WAKO KWA NIA OVU NA SIO KWA USHUHUDA WA KAZI YA MSALABA.

HUWEZI KUWA MCHUNGAJI HALAFU UNATANGAZA MATATIZO YA WASHIRIKA WAKO, MFANO ALIVYOMDHALILISHA JOSEPHINE KUWA ANA MAPEPO.

AMESEMA JOSEPHINE HASTAHIKI KUWA FIRST LADY KWA AJILI ANA MAPEPO. YEYE SI MCHUNGAJI TENA ANAFUFUA WAFU, KWANINI HAKUYATOA???

YEYE NI MCHUNGAJI, NA KAMA ALIONA NYUMBA YA DR. SLAA INA SHIDA SI ANGEWAOMBEA.

HUYU BWANA ALILISEMA KANISA KATOLIKI NA ALIFIKA MAHALI AKAMTUKANA MPAKA KADINALI PENGO, LEO ANASEMA RC NI KANISA VERY CREDIBLE???

Queen Esther

Ni Mungu ndiye aliyemwongoza hivyo ili aje amwokoe na uwongo unaotoka kwa slaa naye akiupata kwa mchepuko wake! Bila hivyo watu wasingemwamini Gwajima!
Halafu unapokuwa unashughulika na wanasiasa ni lazima kuchukua tahadhali! wao huwa hawana marafiki wala adui wa kidumu! Nani angeliota kuwa Leo Slaa angekuwa kipenzi cha gazeti la Uhuru?
 
Ccm wamekuja na ukanila yaani unaguzi wa kaskazini sasa lao hilo
 
Hata hujui kinachoendelea kumbe kwa taarifa yako pale alishahama kitambo sasa yupo ubungo.

sasa ngwajima mie nifaatilie ishu zake zitanisaidia nini,labda ningua mwandishi sawa ningefuatilia magodown yake anayohifadhia misukule yako wapi,na kama misukule inapata chakula sawasawa,isije kuwa anawalisha unga na pumba za mahindi...

kama yuko ubungo inatakiwa ahame pia....
 
JUHUDI ZA GWAJIMA KATIKA SIASA,KIPI ANATAFUTA?Mchungaji gajima wa kanisa la ufufuo anaonekana kuwa na juhudi kubwa za kisiasa ktk kipindi hichi kiasi cha kuachana na shughuli za mafundisho ya mungu.Hayo ameyathibisha wakati akiongea na waandishi wa habari.

Katika maelezo yake amesema ni muda mrefu sana amekuwa akijihusisha na shughuli hizo za siasa kwa siri pasipo waumini wake kutambua, amekuwa akihudhuria ktka vikao mbalimbali vya maamuzi vya chadema kwa siri kubwa. Amenukuliwa leo akisema -“Usiku ule mheshimiwa Lowassa, sasa akaingia kwenye kamati kuu na mimi nilikuwemo ndani ya kamati kuu kuhakikisha amefika salama na alipokelewa pale nje na Dr Slaa na Prof Baregu na mwenyekiti wa chama chetu na watu wengine. Mzee Lowassa akaongea, wote tukasimama kwa pamoja na kapiga makofi, tulimkubali na tukampokea”. Kitendo hicho kinatia shaka juu ya huo wema wake kwa lowasa kiasi cha kumfanya kuacha shughuli za kufundisha na kuabudu badala yake kujikita kukesha kwenye vikao vya kisiasa kwa siri.aidha amejitapa na kudai kuwa alifanya ushawishi kwa Josephine na maaskofu wengine kumuunga mkono mzee Lowasa!WATANZANIA TUJIULIZE,NI KIPI KILICHOPO NYUMA YA PAZIA KATI YAO?
 
Mchungaji wa kanisa la Ufufuo na Uzima Mch. Josephat Gwajima adai kushiriki katika mkutano wa kupokelewa kwa Lowasa katika chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kitendo cha Dr. Wilbroad Slaa aliekuwa katibu mkuu wa CHADEMA kukanusha kumpokea Lowasa ni uongo na Uongo si jambo zuri kwa watumishi wa Mungu ndi maana leo yeye amejitokeza kukanusha uongo na kuweka ukweli wote hadharani ili Wananchi na wazalendo wa nchi ya amani Tanzania wasiyumbishwe na watu wenye tamaana Uongozi wa Nchi kwa maslahi yao na familia zao tu
 
sasa ngwajima mie nifaatilie ishu zake zitanisaidia nini,labda ningua mwandishi sawa ningefuatilia magodown yake anayohifadhia misukule yako wapi,na kama misukule inapata chakula sawasawa,isije kuwa anawalisha unga na pumba za mahindi...

kama yuko ubungo inatakiwa ahame pia....

Vizuri sana.... Mpaka hapo inaonekana ni mfuatiliaji mzuri sana wa mambo yake.
 
Back
Top Bottom