Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

lowasa na gwajima watu wa kuogopwa sana, wanatugawa watanzania na kupotosha umma. nikipata hela za kufungua kesi mahakamani nitawashitaki hata baada ya uchaguzi. naipenda Tanzania na ninawajibu wa kuilinda na kuitetea nchi yangu

Sisi tunawapenda na kuwaamini.Njoo nikupe hela ufungue hata kesho hiyo kesi.
 
Umenifilisi maneno.Mama Kamili anatakiwa kuwa na roho ya msamaha Dr Mihogo anateseka sana fikiria jinsi alivyofungiwa nje akalala ndani ya gari,akashinikizwa kujitoa katika siasa,akashinikizwa kuharibu CDM.......Ni wakati wa Mama Rose Kamili kumsamehee Dr Slaa kwakuwa kiapo cha ndoa yao takatifu kinasema kifo ndio kitawatenganisha,watavumiliana katika shida na raha.

Mama Rose Kamili fikiria Dr mzima na akili zake zote anafungiwa nje,ana umwa na mbu usiku kucha,anapigwa na baridi usiku kucha no Dar hakuna baridi lakini mbu wapo sijui siku hiyo Dr Mihogo alijisikiaje,sijui alikumbuka alivyo kana useja,sijui alimkumbuka Mama Rose Kamili sijui sijui nimejikuta nikimwonea huruma Dr Mihogo.

Nawalaumu sana CDM walikuwa wakijua udhaifu wa Dr Mihogo lakini walikaa kimya kama si ujio wa Lowassa Ikulu ya Magogoni ingekuwa na First Lady mwenye mamlaka juu ya Rais wa nchi ambae ni amiri jeshi mkuu hii ni hatari Mbowe,Lissu,Mnyika,Halima Mdee ..... wote mnastahili lawama.

Unishind mm aisee Namuonea huruma sana dk mihogo, na czani kama ndoa yenyewe itadumu yetu macho na masikio
 
Yeye Mbna Kama Kiongozi Wa Kiroho Hayupo Neutral?

awe neutral kwenye nn?? sianapiga kura nayeye??? unataka kondoo zake wapate shida za elimu afya n.k nawakati anayonafasi ya kuwaambia ukweli juu ya magamba na watumwa wao???
 
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.

Mungu ametuoyesha mapema kuwa Dr. Slaa hafai kuwa Rais wa Tanzania. Ina maana ni dhaifu kwa mkewe hivyo endapo angeshinda na kuwa Rais, hivyo Tanzania tungekuwa tunaoongozwa na mwanamke.
 
Ccm habari yake imeisha kabisa. Lowasa anasubiri kuapishwa tu. Mungu ibariki Tanzania

Lowasa gani, huyu huyu anayetumia fedha nyingi kwenda ikulu au yupi!? huyu aliyenunua waandishi kibao! huyu ambaye chadema walipata umaarufu kwa ufisadi wake! labda kama watanzania ni wasahaulifu sana
 
Narratives za Gwajima, Kubenea, Mbowe, Tundu Lissu,... zinalandana 100% .. sasa nimeamini bila shaka kwama Mihogo ni muongo na dhaifu kupindukia. Kumbe Mungu tu alitunusuru mwaka 2010 akashindwa na JK.

......hahaaa! mnanikumbusha hasira za baba wa taifa pale alipokemea wahishimiwa sana kutuongoza kupitia akili ya upande wa pili,
 
Dr Slaa from hero to Zero.Japo simpendi kabisa kwa sasa ila namuonea huruma hizi ndoa ni ngumu.Unaweza kuta dr anatamani hata avunje uchumba abaki huru ila ndio hivyo alichopewa na josephine hatujui.Pole padri
 
Tafadhali sana rais Magufuli utakapoingia madarakani mwezi wa 10 hii tabia ya wachungaji njaa kama hawa kujiingiza kwenye mambo ya siasa idhibitiwe mara moja. Achaguwe moja kuchunga kondoo wa bwana au kuhangaika na mambo ya dunia. Huu ni upuuzi kabisa haya siyo mambo ya kunyamazia hata kidogo.

Nakwambia hamna mchungaji Askofu maskin aiseee...Wale watu wanapiga hela hatari...no auditing of their collection...Toa ndugu toa ulichonacho.....wanaofanya kazi madhabauni watakula madhabauni...hatari..kaz ni mim na wewe watanzania wa kawaida
 
napata kichefuchefu kwa haya yanayotokea. ni msiba kwa jamii. Jamii inayoamini babu ambilikile mwasapile ni mponyaji wa ukimwi. Jamii inayoshabikia umbea na kuacha mambo ya msingi ya taifa. Iwavyo vyovyote hoja za ufisadi wa lowasa alizozeeleza dr. Slaa hakuna wa kuzisafisha.

pole hiyo dawa ili ionekane imemwingia mgonjwa dalili zake ni mgonjwa kupata kichefuchefu kama wewe hivyo na kuanza kuropoka ovyo.
 
lowasa na gwajima watu wa kuogopwa sana, wanatugawa watanzania na kupotosha umma. nikipata hela za kufungua kesi mahakamani nitawashitaki hata baada ya uchaguzi. naipenda Tanzania na ninawajibu wa kuilinda na kuitetea nchi yangu

Teh teh.....
 
Hio ndo dawa ya msaliti,ni kumrecord....

Askofu huyu ni mtumishi wa shetani. Hakuna mtumishi wa Mungu anayeombea watu matatizo na magonjwa na kutoa hadharani siri za waamini wake.
 
Lowasa gani, huyu huyu anayetumia fedha nyingi kwenda ikulu au yupi!? huyu aliyenunua waandishi kibao! huyu ambaye chadema walipata umaarufu kwa ufisadi wake! labda kama watanzania ni wasahaulifu sana

Nikiwemo na mimi.
 
bora uislam ukiwa na dhambi zako unakaa peke yako na mungu wako unatubu.. Lakini mambo ya kuungama maaskofu wenyewe ndo kama hawa. mkikosana so anakuanika!!!!!

ili asikuanike sharti usilianzishe.
 
Chezea kifaa kilichomshinda Mahimbo..Kwanza ilikuwaje Dr.akashindwa kukemea pepo ilihali alikuwa padiriiii...
 
Linalonishangaza zaidi ni kitendo cha kumsema vibaya mtu ambaye unatumia walinzi na mpishi kutoka kwake. Nashindwa kushangaa...
 
Back
Top Bottom