Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

sasa mbona na wewe unafanya hichohicho..unasiliba Gwajima kumtukana Pengo wakati na wewe unamtukana Gwajima 'mhuni'. Coz mm nijuavyo si vyema kumtukana yeyote..awe mwadhama kadinali, awe padri, awe mchungaji, awe muuza mitumba nk! au ni viongozi tu wa katoliki ndo hawatakiwi kutukanwa..wa wengine ruksa kutukanwa! au utasema umemtukana coz ya alivyomsema Pengo..naye si atakujibu alimsema vile Pengo kutokana na alivyobehave...! my point is..kwa Mungu wote tuko sawa! hivi vyeo ..sijui askofu, mchungaji, papa ni vya duniani tu...wala havimshtui Mungu. maana naona mmemind sana Pengo kutukanwa...wakati nyie kutwa very busy kuwatukana wachungaji wa makanisa mengn..mmeona inavyouma!!!
Umeambiwa askofu Pengo ndo kaenda polisi kushtaki? Nani kasema Pengo ni Mungu? Kutukanwa na muhuni gwajima ni haki? Hivi kwa nini watu wengine mnapenda kukurupuka na kujiandikia tu bila hata chembe ya kutafakari japo kidogo tu? Hili linapaswa kuwa jukwaa la great thinkers tulipe hadhi yake stahiki. Afu acha kujiita mkatoliki kuwachanganya watu hapa.
 
Kova naye bwana tangia gwajima amuumbue na movie yake ya joshua mulundi na sakata la ulimboka anamuandama sana..

we mtu huoni kwamba Gwajima anakosa ustaarabu kwa kumtukana mwenzake kwa kutoa maoni yake katika nchi yenye uhuru wa kutoa maoni kama hii? Umefilisika kimaadili kwa kushindwa hilo!
 
we mtu huoni kwamba Gwajima anakosa ustaarabu kwa kumtukana mwenzake kwa kutoa maoni yake katika nchi yenye uhuru wa kutoa maoni kama hii? Umefilisika kimaadili kwa kushindwa hilo!

Pengo ndo mnafiki alishindwa kuheshimu maamuzi ya maaskofu wenzake
 
sasa mbona na wewe unafanya hichohicho..unasiliba Gwajima kumtukana Pengo wakati na wewe unamtukana Gwajima 'mhuni'. Coz mm nijuavyo si vyema kumtukana yeyote..awe mwadhama kadinali, awe padri, awe mchungaji, awe muuza mitumba nk! au ni viongozi tu wa katoliki ndo hawatakiwi kutukanwa..wa wengine ruksa kutukanwa! au utasema umemtukana coz ya alivyomsema Pengo..naye si atakujibu alimsema vile Pengo kutokana na alivyobehave...! my point is..kwa Mungu wote tuko sawa! hivi vyeo ..sijui askofu, mchungaji, papa ni vya duniani tu...wala havimshtui Mungu. maana naona mmemind sana Pengo kutukanwa...wakati nyie kutwa very busy kuwatukana wachungaji wa makanisa mengn..mmeona inavyouma!!!

Kwa mujibu wa KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU...neno MHUNI maana yake ni;

1.Mtu ambaye hana mke au mume;msela.
2.Mtu asiye na makazi maalumu.
3.Mtu asiye na tabia nzuri;mtu asiyechungia watu heshima.

Kwa vigezo namba 2 na 3. Gwajima anafit sifa ya uhuni. Sijamtukana.
Endelea kujifunza.
 
Hilo liko dhahiri kiongozi. Why double standards?

.
pengo na Mtilkila hawana tofauti ni watu wanaoweza kununuliwa kufanya mdhaha hata kwa masuala muhimu sana yanayohusu jamii inayowazunguka.
hata kama Gwajima atafikishwa kwenye sheria sisi raia tumefarijika kwa paka kufungwa kengele na ujumbe juu ya kuwadi wa deal chafu yaani pengo umefika. massage sent!
 
aisee unaonekana umekerwa..! duh! kama hujawahi kutukana/kukashfu viongozi wa dini/madhehebu mengine sawa, bt kama umewahi...nadhani sasa umeelewa waumini wao walifeel vipi!! manake naona mmeshtuka sana Pengo kupewa makavu..jaman naye ni mtu tu kama hao wengine mnaowatukana(wanapowaudhi) mabarabarani mkiwa mnadrive au kwenye daladala, maofisini, hm nk! tofauti tu ni kwamba yeye ana wadhifa mkubwa basi.. lakini mbele za Mungu wote sawa..tena maskini flani anaweza akawa wa maana mbele za Mungu kuliko watu wakuu kama maaskofu...Mungu anaangalia moyo..
najitahidi kujiuliza ya kuwa unafikiria kwa kutumia nn!!
 
aah! kumbe.... tusubiri..tuone! watanzania mkisikia polisi mnapanic mno! mnadhani kinachofata ni jela! issue itaisha mkiwa hata hamelewi iliishaje! even wakienda mahakamani.. atakachotakiwa ni kuprove aliyoyasema. kwamba umemwita mjinga..why mjinga? coz mjinga, mpuuzi si matusi ni 'sifa' ingawa mbaya. so akiweza kuoanisha behaviour flani za pengo na hayo aliyoyatamka...case kwshney!

Rackel!..Rackel! point sio kwenda jela na wala sio kushinda kesi! Kuna tofauti kati ya haki na sheria..sio wote wanaoshinda kesi wana haki kushinda na wala sio wote wanaofungwa jela hana haki ya kufungwa.jambo la kuzingatia hapa ni kwamba waliopewa wajibu wa kusimamia haki na sheria wameona yapo matusi kwenye mahubiri ya Gwajima ndio maana wameona ipo haja ya kumhoji Gwajima. Kwa mwenye akili ni issue ya molarity na sio issue ya nani mshindi wa kesi. Endelea kujifunza.
 
Serikali pigeni marufuku viroba taifa linaangamia hili kama mchungaj na muumin nae ana mawazo kama haya kaz sana kw taifa hili

Watu kama nyie ndo mnaitwaga mapunguani.
Kazi kufuata mkumbo, huelewi mada unakurupuka kama tumbo la kuha. Ra. Nyang'au wewe.
 
aisee unaonekana umekerwa..! duh! kama hujawahi kutukana/kukashfu viongozi wa dini/madhehebu mengine sawa, bt kama umewahi...nadhani sasa umeelewa waumini wao walifeel vipi!! manake naona mmeshtuka sana Pengo kupewa makavu..jaman naye ni mtu tu kama hao wengine mnaowatukana(wanapowaudhi) mabarabarani mkiwa mnadrive au kwenye daladala, maofisini, hm nk! tofauti tu ni kwamba yeye ana wadhifa mkubwa basi.. lakini mbele za Mungu wote sawa..tena maskini flani anaweza akawa wa maana mbele za Mungu kuliko watu wakuu kama maaskofu...Mungu anaangalia moyo..

Rackel...Rackel...Hatukerwi kwa sababu aliyetukanwa ni askofu bali tunakerwa kwa sababu aliyetukana anajiita Askofu. Kumbuka Gwajima ana kundi kubwa la waumini nyuma yake na ni kiongozi wa kiroho. Kama yeye akiwa kinara wa matusi anawaachia maadili gani wale wanaomfuata? Kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzie...ona sasa watu wengi humu wanashangilia matusi yake wanadhani ndio utume. Tukiacha hali hii iendelee tutapoteza watu wenye nia ya kweli ya kumfuasa Mungu na hivyo lazima akemewe ili shetani ashindwe. Utamaduni wa kutukanana haupo kwenye vitabu vya Mungu wala sheria za nchi. Kwa kauli zako Inaonekana wewe mwenyewe hupendi matusi lakini usichukie uovu kwa kuutetea uovu.
 
Back
Top Bottom