Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

kwanza cha moto Hakioni wala hatakiona! sahau, pili kama mmehuzunishwa sana kunyweni divai walau mchangamke na huzuni iondoke. halafu hilo agizo kuwa ashughulikiwe kisheria unampa nani sasa? inshort hatashughulikiwa coz hakuna kosa alilofanya. Nonsense!

We msukule huwa unaongeaga nonsense. Msukule mwenzio yuko ICU anashughulikiwa.
 
Kova naye bwana tangia gwajima amuumbue na movie yake ya joshua mulundi na sakata la ulimboka anamuandama sana..
unaandika kama jisenge vile. kwani kova ndo aliyemtuma gwajima akamtukane pengo? tumia kichwa kufikiria.
 
mara nyingi napenda kuwaambia wanasheria hasa wale wachanga ama wanafunzi na other laymen kuwa sheria ni zaidi ya maandishi unayoyasoma. Unapokuja katika application ya sheria busara ni lazima ikuongoze katika jambo moja la msingi, mantiki.
Hakuna kitu kama hicho kwenye sheria, tena uache kupotosha wanafunzi wako! Mantiki ni common sense na kila mtu ana zake. Tunataka herufi za sheria zinasema nini, hatutaki mantiki wala opinion za mtu!

Unaposema Pengo ana ushawishi kwa umma kwa hiyo tusitoe matamshi dhidi yake kwa sababu yatasababisha uvunjifu wa amani, well, hata Rais ana ufuasi wa umma, Slaa ana wafuasi, Lipumba ana wafuasi na kila siku wakikosea wanachanwa hata wasipokuwa wamekosea watu wakiwa na opinion tofauti wanawachana na hakuna vita vilivyotokea, kwa hiyo usitishe watu wasiweze kuwa na political opinion eti watavunja amani. Pengo is not above criticism.
 
Aise!!!

Nukuu yako ni out of context kabisa. Embu rejea nilichoandika kwenye hiyo post then usome ulichojibu wewe.

Unataka kujua sheria inasema nini katika issue kama hii? Okay embu fanya rejea ya penal code kifungu cha 89(1) then urudi tujadili hili sakata kwa hiyo base.
 
wEWE UNAWASHWA WEWE,mimi kumnukuu Mtume Muhammad kumekuuma nini? ni sawa na kumnukuu msomi au mwanafalsafa yeyote,sasa wewe umekwazika na nini?mie sio muumini wa itikad za kijinga,humu JF watu mara kadhaa humnukuu Yesu na Wanafunzi wake kadhaa. Pamoja na hayo huu uzi unahusu Gwajima na Pengo na post niliyoijibu imeendana na nilichokinukuu,kama huna la kufanya kashikishwe ukuta mbulu K3NG3 w3333[/QUO
----- lako
 
nini sasa? mwenyewe unakielewa ulichokiandika!? au ilimradi umecoment! aunt bhana! kichwani mtupu!
Msukule wewe unajua IQ ni nini? Hebu andika neno "GWAJIMA MSUKULE" Ili tuone hapa kama kweli una IQ ya kutosha.
 
Kardinal Pengo yuko sahihi kwa sababu kila mtu anayohaki ya kuamua analoliona linafaa, kupigia kura au kutopigia kura. Maamuzi ya maaskofu ni msimamo mmoja wapo laki uhuru wa kila mtu unabaki palepale hata kama mumeamua kutoipigia katiba iliyopendekezwa na mwingine akawa amekubaliana kwenye kikao lakini hana sababu ya kuwazuia watu kupigia kura ila kuwashawishi kwamba wasiipigie, kwahiyo kumkashifu Kardinal Pengo kwa sababu ya kusema kinyume na makubaliano ni kosa la jinai. Askofu Gwajima alitakiwa kuwashawishi wafuasi wake siyo kutumia nafasi yake kukashifu wenzake.
 
Unawaza kidunia mno. Ndio maana hatuelewani. No wonder utambuzi na uamuzi wa kupigania wema au ubaya kwako ni ugomvi tu. Namtazama Gwajima kwa namna anavyojiita kiongozi wa kiroho. Anyway. Its a heavy topic for you. I suppose.[/QUO
Exactly. Nafurahi unajua tunapopishana. Mimi nawaza kisayansi ambacho wewe unaita kiduni na wewe unawaza kiroho. Na kwa kuwa Pengo ni kiingozi wa kiroho kwako wewe hawezi kufanya makosa kama wewe. This is totally wrong. Work up and open your eyes to see the fact. NB: Pengo is an individual and not the church. Can you engage a bit of your brain and let your soul relax?
 
usiumize kichwa mkuu...!!!
wafuasi wa Gwajima wanamatatizo
USISAHAU MKUU... Ilimuokoke lazima uwe na matatizo. Hata Gwajima aliokoka alipopata ajali na kuumia mgongo. Kwahiyo hiyo iko wazi kuhusu wahumini wake. Sasa Misukule yake itaenda wapi endapo watanfunga. Maana sheria hiko wazi wazi kabisa Kifungo na faini vyote kwa pamoja kulingana na uzito wa kosa. Gwajima kamdhalilisha Pengo na Waumini wenzake.
Ana kesi ya kujibu na hachomoki.
 
Polisi kanda maalum ya Dar es salaam wametoa wito kwa Askofu Gwajima kufika kwa RCO wa kanda kwa mahojiano kuhusiana na clip anazohusishwa nazo mitandaoni akitoa matamshi makali juu ya Cardinal Pengo.

=============

Chanzo
: MICHUZI BLOG

Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Wananchi wa kawe wakimachaguwa huyu Ngwajima Anaye mtukana Askofu pengo eti kuwa ni mbunge wao basi hao wananchi wa kawe watakuwa wamerogwa na aliye waroga amekufa zamani. Ngwajima hafai kuwa Mbunge hata kidogo hana heshima juu ya viongozi wa Dini wakubwa kama Askofu pengo. Ngwajima Sio Mwana Siasa na Halima mdee ni mwana siasa mzuri labda CCM Waibe kura kumpa Ngwajima ushindi lakini jama haki itatendeka Ngwajima hawezi kumshinda Halima Mdee. Mimi Sio Mwana siasa mimi ni msema ukweli.
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Makubwa! Kwa hiyo ikifika saa ya itikadi uovu na udhaifu wote huwa mzuri na mwema? Nini kilikufanya utofautiane naye wakati ule na nini kimekufanya ukubaliane naye kwa sasa,?siasa ni mchezo wa kujitoa ufahamu .
 
Back
Top Bottom