Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

POLISI bongo wana mambo! wanachagua kesi za kupeleka mahakamani, mwaka jana mh MENGI alitoa tuhuma nzito dhidi ya jeshi la POLISI kwamba wanapanga njama za kumbambikia kesi ya madawa ya kulevya mtoto wake,cha ajabu wala hawakumwita mzee Mengi kumuhoji,wanachagua sehemu soft za kudeal nazo.hivi kesi ya Ulimboka iliishia wapi? au yule mtekaji alipewa dhamana?
 
Polisi kanda maalum ya Dar es salaam wametoa wito kwa Askofu Gwajima kufika kwa RCO wa kanda kwa mahojiano kuhusiana na clip anazohusishwa nazo mitandaoni akitoa matamshi makali juu ya Cardinal Pengo.

=============

Chanzo: MICHUZI BLOG

Huyu hafai, hata kama mwenzako kakosea, kuna namna ya kutunza heshima yake! Huyu ni mtu hafai katika jamii
 
kshee Ponda alipigwa risasi ya bega..kama onyo..

Huyu tapelii atapigwa ya domo awe naadabu...
Jamuhuri ya tz asifananishe na kanisa_NGO anayoendesha...
 
akafungwe tu huyo mbwajina ye hajui kua pengo ana elimu na akili kuliko yeye au alidhani pengo ni kama mbasha
 
Hamna kesi hapo huyo kamanda kova anazidi kumtia aibu huyo pengo na kanisa.
Kova hana historia ya kuandika filamu nzuri hata siku moja.

Una chuki binafsi kwa Pengo na Kanisa, ni kitu gani kibaya alichosema Pengo, kama kuna sheria ya kumtia hatieni Gwajima acha sheria ifuate mkondo wake.
 
Ivi kashawafundisha waumini wake biblia yoote? Na pili mke wa mbasha alisharudi?
Au ndo kakosa yakuhubiri?
 
Bw. Gwajima alifika mbali kumtusi kardinali wetu.. Sasa hapa utakiona cha moto.. Hii si level ya akina mbasha...

Wakatoliki tumehuzunishwa na maneno machafu aliyotoa GWAJIMA huyu anayejifanya kufufua watu

lazma.ashughulikiwe kisheria
 
Kwataarifa Yako maoni ya Pengo ndio yalikuwa yanaondoa huo udalali unaozungumzia.....Ushabiki kitu kibaya mno...Tuliza Noakili yako soma alichoeleza Pengo...

Cha msingi ni huyo muhuni Gwajima ajisalimishe Polisi mapema..

Nolle sio?!
 
Gwajima nchi haendeshwi kwa mihemko na utoto, fanya fasta jisalimishe central kama wito huo ni sahihi. Waone Polisi hawajui lolote kama hujakutana nao kikazi zaidi. All the Best askofu.

Mafisadi wangekuwa wanaambiwa wajisalimishe haraka Polisi ingependeza sana! Lakini tunasikia kauli kwamba "nchi itatikisika," mara " mwacheni mzee apumzike," mara "huyo Ballali tukimhitaji tutamleta maana Serikali ina mkono mrefu," nk"
 
chadema mmechanganyikiwa na siasa nyinyi...hamji kuchukua nchi kamwe nyie kwa siasa zenu za kitoto...Pengo anajua anachokifanya na maaskofu wa RC wanajua wanachokifanya, nyie mburulaz hamjielewi.

jina lako linajitosjeleza kukuelewa ww ni mtu wa aina gan!!
 
Back
Top Bottom