Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Gwajima hana kesi ya kujibu,alikua anamkumbusha pengo wajibu wake km kiongozi!..,katumia maneno ''kama,inawezekana,sijui'',,,yatamlinda
Huyu gwajima si ndio yule aliyekusanya watu viwanja vya kawe akidai anamfufua amina chifupa, lakini hawakuona hata mzimu wake. Pungumoja tu huyu.
Kwa hiyo yale ndio mahubiri yenu ya kila siku.?unayajua matusi ww?,,
PENGO anahangaika bure Gwajima alisema ukweli
mbona mkiambiwa ukweli mnapanikiHaya tumekusikia. nenda kaoge ulale kesho uwahi shule eeeh!
Gwajima aliongea ukweli aliyeropoka ni Pengohuyu Gwajima kazidi kuropoka yaani jamaa mdomo wake ni mchafu balaa maana yale maneno sio ya kumwambia kiongo mkubwa kama Pengo
junajifanya unajua sana mistari ya biblia kumbe wewe ni shetani mkubwaMwenye hekima huogopa na kuepuka ubaya,lakini mjinga anakuwa na ghadhabu na mwenye kujitumaini.
Yule anayekasirika upesi atatenda upumbavu, lakini mtu mwenye uwezo wa kufikiri huchukiwa. Methali 14:16-17
kama taarifa imetolewa na Kova ni upuuzi mtupu inawezekanaje jeshi la polisi kwenye kesi ya madai likawa mlalamikaji? anyway mimi sina imani na akili za Kova tusubiri tuone litaishia wapi lakini nauona mwanzo wa mwisho wa suala lenyewe kuwa litamalizwa kipuuzi.Ni nani mlalamikaji katika hili shauri?
Mbona kina Muhongo na werema walimwita kafulila tumbili na wakamwambia watamkata kichwa hadharani polisi hawakuoan umuhimu wa kuchukua hatua dhidi ya hiyo jinai iliyosemwa hadharani?
Ninafahamu shehe I..nani sijui alikuwa anahamasisha mauaji ya viongozi wa dii ya ki kristo hadharani lakini polisi hao wakiwa walinzi wa usalama hawakuhangaika hata kumhoji? (you tube: waueni).
Ni kweli inaezekana Pengo ameumia lakini si jukumu la polisi kuwa mlalamikaji. Watu wengi sana pia waliumizwa na undumila kuwili wa pengo kwamba huku ameafikiana na wenzake, halafu pembeni tena anageuka. Kama angelikuwa na nasaha alizoziona yeye zinafaa, alitakiwa kuzisema kwenye kikao walichokaa na si kufanya uzito kabwe.
Anyway, nina amini hili suala litakwisha kwa amanni kwa sababu Wakristo wamefundishwa unyenyekevu na msamaha. Ninaona polisi wanachokifanya ni reconciliation ya kawaida ambayo mara nyingi pia, hasa hapo zamani, (wakati wa nyerere akiwa hai), walifanya sana kazi ya upatanishi pale pande mbili zinazofanana zilipokuwa katika tofauti.
Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Gwajima kamanda
junajifanya unajua sana mistari ya biblia kumbe wewe ni shetani mkubwa
Kihere here kitamuisha,sheria ndio dawa ya wajinga.
junajifanya unajua sana mistari ya biblia kumbe wewe ni shetani mkubwa
Tatizo la hii ishu imeingiliwa ni virusi vya siasa.
Kuna UKAWA na CCM.
Watu hawaangalii nani mwenye kosa, bali anayetetea chama chake.
hivi kardinali pengo hawezi kushtaki mwenyewe?ile chai ya ikulu imeshamnunua pengo!!!
Hata mi huyu jamaa Pengo nimekosa imani nae kabisa,nahisi yuko mikononi mwa Mafisi-hadi.
Kwenye uzi kama hivi ndiyo kipimo cha kujua jinsi gani vijana wetu wa taifa hili walivyojaza uozo kichwa na kuwa wepesi wa kuchotwa kisiasa na kutoa mawazo mepesi mepesi yasiyo na mashiko wala hekima.
Mwanadamu akikosa hekima anakuwa kama mwendawazimu na ndiyo taifa hili na vijana wake linapoelekea.
mbona mkiambiwa ukweli mnapaniki