Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,244
Tena wamlaze celo kabisa ili anyee debe,hata kama hakubaliani na Pengo sio vyema mtu mzima kumdhalilisha namna ile eti anamfananisha na mtoto anaevaa pampers,jamani ilipofika hiyo sehemu ilibidi nimcheki mwanangu anaevaa pempers ambaye mtu mzima Pengo ndo anafananishwa nae,kweli hii ni dhihaka,maana mtoto anaevaa pempers anajinyea,kujikojolea,yaani anafanyiwa kila kitu.