Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Ila Gwajima alisha sema kwenye ile clip kwamba police wakitaka waende muda wowote kumkamata. Sasa sijui kova kigugumizi cha nini?
Ajipeleke mwenyewe aache uhuni
Ila Gwajima alisha sema kwenye ile clip kwamba police wakitaka waende muda wowote kumkamata. Sasa sijui kova kigugumizi cha nini?
Ni nani mlalamikaji katika hili shauri?
Mbona kina Muhongo na werema walimwita kafulila tumbili na wakamwambia watamkata kichwa hadharani polisi hawakuoan umuhimu wa kuchukua hatua dhidi ya hiyo jinai iliyosemwa hadharani?
Ninafahamu shehe I..nani sijui alikuwa anahamasisha mauaji ya viongozi wa dii ya ki kristo hadharani lakini polisi hao wakiwa walinzi wa usalama hawakuhangaika hata kumhoji? (you tube: waueni).
Ni kweli inaezekana Pengo ameumia lakini si jukumu la polisi kuwa mlalamikaji. Watu wengi sana pia waliumizwa na undumila kuwili wa pengo kwamba huku ameafikiana na wenzake, halafu pembeni tena anageuka. Kama angelikuwa na nasaha alizoziona yeye zinafaa, alitakiwa kuzisema kwenye kikao walichokaa na si kufanya uzito kabwe.
Anyway, nina amini hili suala litakwisha kwa amanni kwa sababu Wakristo wamefundishwa unyenyekevu na msamaha. Ninaona polisi wanachokifanya ni reconciliation ya kawaida ambayo mara nyingi pia, hasa hapo zamani, (wakati wa nyerere akiwa hai), walifanya sana kazi ya upatanishi pale pande mbili zinazofanana zilipokuwa katika tofauti.
Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.

Gwajma ni jembe
Nenda kamsaidie hiyo kesi iliyofunguliwa juu yake, na ukaongee hiyo statement yako kwamba Pengo ni dalali wa maisha yako na usiseme yetu.
Tatizo la hii ishu imeingiliwa ni virusi vya siasa.
Kuna UKAWA na CCM.
Watu hawaangalii nani mwenye kosa, bali anayetetea chama chake.