angalia kwenye hiyohiyo kamusi maana ya maneno aliyotamkiwa Pengo halafu linganisha na alichokifanya halafu jijibu mwenyewe. mf, kaitwa mpuuzi..utakataaje si mpuuzi wakati amepuuzia na kudharau maazimio waliyokaa kwenye kikao chao..utaniambia hakuwepo...hiyo si issue coz bosi wake(rais wa TEC) alikuwepo na alisign..! hakutakiwa kwenda kinyume na hicho otherwise angewaconvince wenzie mapema kwenye vikao vyao vya TEC ili wakienda kukutana na maaskofu wengine waweke wazi msimamo wao. taasisi huwa zinaendeshwaje!? kwamba msimamo unatolewa then kila mtu anakurupuka kusema lwake? kiukweli kitendo alichokifanya ni cha kitoto ndo maana pampers inahusika. na viongozi wanajaribu kuishtua GVT kwa kuweka misimamo mikali ili ijipange vizuri ...bt mwisho wa siku kila mtu atapiga kura ajuavyo maana ni kura ya siri ..hakukuwa na haja ya Pengo kuongea vile..mana kaipa kichwa serikali
Kwa mujibu wa KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU...neno MHUNI maana yake ni;
1.Mtu ambaye hana mke au mume;msela.
2.Mtu asiye na makazi maalumu.
3.Mtu asiye na tabia nzuri;mtu asiyechungia watu heshima.
Kwa vigezo namba 2 na 3. Gwajima anafit sifa ya uhuni. Sijamtukana.
Endelea kujifunza.