We mdau kunywa pepsi baridi nakuja kulipa. Yaani mtazamo wako ndio wangu mule mule..Hoja hapa chanjo inazuia nisipate korona? Jibu ni HAPANA unapata! Je chanjo hii inazuia nikiwa na korona nisimuambukize mwingine? Jibu ni HAPANA unawezakumwambukiza! Je nikichanjwa nikapata korona siwezi kufa! Jibu ni HAPANA unawezakufa! Je hayo MACHANJO ni ya nn? JIBU yanazuia maambukizi ya KORONA. Mbona waliochanjwa Ulaya wanazidi kupukutika kwa kasi? Tuwe na ngozi nyeusi na AKILI iwe nyeusi huo ni upimbi.
Chanjo inazuia maambukizi, lakini ukichanjwa unaweza kuambikiza na kuambukizwa. Hili ni fumbo, mjinga hawezi elewa, ila mwerevu huling'amua.