Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Huyu jamaa hata akiacha uchungaji hatokufa njaa maana ana kipaji sana cha maigizo. Ananikumbusha pinda livoact kulia mjengoni ili kuwahadaa albino.
Enye makafi...ri nani kawaloga na elimu zenu bado mnadanganywa kama watoto
Enye makafi...ri nani kawaloga na elimu zenu bado mnadanganywa kama watoto
Enye makafi...ri nani kawaloga na elimu zenu bado mnadanganywa kama watoto
enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? hivi hii kauli nani aliitoa?Uje hapa na lugha za adabu sio kuongoa kama jini maimuna kakupanda kichwani, nyambaf
Siku hizi movie za ukweli zinachezwa na wachungaji maaskofu manabii na mitume ya kikristu! Wale kina van dame walikua wanatuibia tu
ukila nguruwe lazima akili yako iwe imevulugwa lazima utaamini hata usanii, yesu aliyatoa mapepo akayarusha kwa nguruweEnyi watumishi wa Mungu acheni kujikweza! Gwajima kweli amewahi kufufua watu? Gwajima kweli, amewahi kuponya wagonjwa? Kwa elimu yangu ndooogo ya Dini, naamini hayo yanawezekana tu kwa "Jina la Yesu"! Sasa hii habari ya "nilifufua watu" ooh "niliponya Wagonjwa " inatokea wapi?