Sonofthemajesty
Member
- Dec 3, 2012
- 55
- 20
Wapinga Kristo wamejaa humu...kazi ni kupigia debe Ibilisi ...curse yuu!!
Ama kweli wajinga hua wajinga tu hata awe na PhD madhali ni mjinga ataendelea kua mjinga
ilikuwa katika ibada ya pasaka ambapo askofu gwajima akielezea habari ya kupoteza fahamu. Miguu yake ilitetemeka, akasikika akiwaomba wachungaji wake wamshike mkono wa kuume, akisema nataka kutembea, yesu nimechoka kukalia kiti cha vilema, heri kufa kuliko kukaa hapo. Nimefufua wafu na kuponya wagonjwa siwezi mimi kukaa hapo. Mara akasema, nasikia sauti inasema 'mimi nimeushinda ulimwengu' akaendelea 'roho wa mungu yu juu yangu' ilikua ni jambo la kupendeza sana, bishop akaanza kutembea mwenyewe. Hallelujah
yote n vema
hakuna mwenye akili yoyote yule anayeweza amni.....
Kama na ujasiri wa kumtukana pengo......watawala wanavyodai aliyemjeruhi dr.ulimboka alitokea kwenye kanisa lake((((((kwa mujibu wa kova)))))))))))))))
mbona hajawahi hata siku moja kukubali wala kukanusha
yesu siku hizi amekuwa mtaji...ukiweza cheza vizuri karata yako inalipa saanaaa
Una uhakika na uliloandika hapa? no research no right to speak. hilo swala la huyo mtu aliyemjeruh ulimboka alishalupinga Zamani Sana baada ya kova kutamka kwenye vyombo vyahabari jwamba Hugo MTU alienda kuungama kwa gwajima.gwajima alipinga na akasema kanisani kwake hakuna utaratibu wa kuungama so hiyo habari haikuwa kweli
yote n vema
hakuna mwenye akili yoyote yule anayeweza amni.....
Kama na ujasiri wa kumtukana pengo......watawala wanavyodai aliyemjeruhi dr.ulimboka alitokea kwenye kanisa lake((((((kwa mujibu wa kova)))))))))))))))
mbona hajawahi hata siku moja kukubali wala kukanusha
yesu siku hizi amekuwa mtaji...ukiweza cheza vizuri karata yako inalipa saanaaa
Nadhani
umekurupuka
wewe reseach unaijua.....unge support uliyoyandika kwa fact basi
binafsi utafiti haujawahi kuwa shida kwangu
so kwa hilo sina tatizo.....kinachoumza ni nyie mnaovuliwa akili na kuvishwa akili za kukaririswa TU
Nilisema huyu shetani hajamaliza maigizo na akitoka huko atakuja na mpya. Tz na Africa ni sheeeeeeeedah
Enye makafi...ri nani kawaloga na elimu zenu bado mnadanganywa kama watoto
Afadhali mungu amejidhihirisha mwenyewe yupo upande gani. Ni kweli Yesu alisema "Mwivi hali bali ili aue, achinje na kuharibu lakini Yesu amekuja wawe na uzima tele. Siku zote shetani huanza halafu mungu hupindua