Askofu Gwajima atembea tena baada ya kupooza

Askofu Gwajima atembea tena baada ya kupooza

Mbona wengine wanaambiwa wakijilipua wanaenda kuzawadiwa bikra peponi,hao nao ni wajinga au wana akili sana.?
 
Akasema, habari ya polisi na pengo hataisema tena. Lakini aliahidi ataendelea kuonya yeyote, awe mbunge, waziri, askofu, mkuu wa majeshi au raisi. Akasema 'Hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda

Kanisa gani?
 
Hasa hao wachungaji wote pembeni ni wa kazi gani?? Ina maana hakuwa na uhakika kuwa Mungu wake atamponya...
 
Baada ya kusema hvyo akawaomba mtoe sadaka ya shukrani???

Mtaliwa kwa ujinga wenu
 
Haki ya nani akili za watu weusi sio bure,kuna kitu kimefanyika,haiwezekani tukaendelea kuwa mazezeta hivi?leo nimeamini imani ya kidini inashusha IQ ya mtu hadi kuwa zero kabisa.........khaaaaaaa!!
 
Ndio maana Kibwetere aliwachoma kirahisi kama vile mtu anavyochoma mishikaki.
 
Hahahahaaaaaaaa,kwanza katengeneza muvi ya kuzidiwa na kulazwa ili baadaye atembelee wheel chair,kumbe alikuwa na maana yake siku kama hii ifike ajifanye ameponywa,hahaaaaaaaa,mazumbukuku yanashangilia tu huku yakiendelea kumtajirisha msanii huyu kwa kutoa sadaka,haya ndio makaniasa yetu ya mazingaombwe
 
Aliyemjeruhi Dr ulimboka kutokea kanisa Lake sio issue. Msaliti wa Yesu alitokea katikati yake, aliyemkata sikio mtu kwa upanga na yesu akaliunga alikuwa Peter

NILICHOJIFUNZA
WENGI WENU NI WAUMINI, NA MNACHOAMBIWA NDICHO MNACHOSIMAMIA
HAMJAWAH QUESTION
.....KAMA UNGETOA AKILIZAKO KWA HUYO GWAJIMA....UNGETAMBUA KADINALI PENGO ALIMAANISHA....TANZANIA N YA SOTE WOTE.....WALIO NA DINI NA WASIO NA DINI......SEREKALI NI MSIMAMIZI....ATUONGOZE TUSEGEMEE UPANDE WOWOTE....PENGO KWA KUTIIZA WAJIBU WAKE......ALIYOYANENA HATA MALAIKA MBINGUNI WALISHANGILIA.....NYIE MNAOMWAMINI MTU NI WAJIBU WENU KUENDELEA KUMTUKUZA.......HAKUNA MWANANZUONI YOYOTE MWENYE DINI AU HANA DINI ANAWEZA JIVUA...UTU WAKE.....UELEWA WAKE......NA KUTETEA MATUSI HUYU ASKOFU WAKO GWAJIMA ALIYOYAELEKEZA KWA KADNALI PENGO......WANANZUONI WOTE DUNIANI TUNATUKANANA KWA HOJA......ALICHOKIFANYA GWAJIMA NI KUONGEA LUGHA AMBAYO WAFIA DINI KAMA ISS,ALSHABAB,ALKAIDA WANATAKA ISIKIA/AU WANATARAJIA IWE....SO HOJA INAJIBIWA KWA HOJA NA SIO MATUSI....SO usihalalishe matusi ya askofu wako kwa MANENO MATAKATIFU.......UNGEMSHAURI ASKOFU WAKO AJIBU ,MANENO YA HEKIMA YA KADINALI PENGO KWA MAANDIKO MATAKATIFU NA SIO KUBWABWAJA MATUSI.....MSHAURI N VEMA SASA AKAVUMILIA KULA MATAPISHI YAKE
 
Una uhakika na uliloandika hapa? no research no right to speak. hilo swala la huyo mtu aliyemjeruh ulimboka alishalupinga Zamani Sana baada ya kova kutamka kwenye vyombo vyahabari jwamba Hugo MTU alienda kuungama kwa gwajima.gwajima alipinga na akasema kanisani kwake hakuna utaratibu wa kuungama so hiyo habari haikuwa kweli

NILICHOJIFUNZA
WENGI WENU NI WAUMINI, NA MNACHOAMBIWA NDICHO MNACHOSIMAMIA
HAMJAWAH QUESTION
.....KAMA UNGETOA AKILIZAKO KWA HUYO GWAJIMA....UNGETAMBUA KADINALI PENGO ALIMAANISHA....TANZANIA N YA SOTE WOTE.....WALIO NA DINI NA WASIO NA DINI......SEREKALI NI MSIMAMIZI....ATUONGOZE TUSEGEMEE UPANDE WOWOTE....PENGO KWA KUTIIZA WAJIBU WAKE......ALIYOYANENA HATA MALAIKA MBINGUNI WALISHANGILIA.....NYIE MNAOMWAMINI MTU NI WAJIBU WENU KUENDELEA KUMTUKUZA.......HAKUNA MWANANZUONI YOYOTE MWENYE DINI AU HANA DINI ANAWEZA JIVUA...UTU WAKE.....UELEWA WAKE......NA KUTETEA MATUSI HUYU ASKOFU WAKO GWAJIMA ALIYOYAELEKEZA KWA KADNALI PENGO......WANANZUONI WOTE DUNIANI TUNATUKANANA KWA HOJA......ALICHOKIFANYA GWAJIMA NI KUONGEA LUGHA AMBAYO WAFIA DINI KAMA ISS,ALSHABAB,ALKAIDA WANATAKA ISIKIA/AU WANATARAJIA IWE....SO HOJA INAJIBIWA KWA HOJA NA SIO MATUSI....SO usihalalishe matusi ya askofu wako kwa MANENO MATAKATIFU.......UNGEMSHAURI ASKOFU WAKO AJIBU ,MANENO YA HEKIMA YA KADINALI PENGO KWA MAANDIKO MATAKATIFU NA SIO KUBWABWAJA MATUSI.....MSHAURINI.... AVUMILIE KULA MATAPISHI YAKE.......MTU ANAZARAULIKA KWA ANENAYO NA SIO KWA HESHMA YAKE ALYONAYO KWA JAMII......HATA VIONGOZI WA ALSHABAB ISS WANAHESHIMIKA SAAANA KWA JAMII ZAO NA WANAOWAAMINI NA KUWAFUATA.......TANZANIA NI TAIFA LA wenye dini na wasiokuwa na dini.....so Gwajima hana ubavu...akili......hekima.....mamlaka za kuwasemea wasioamini na wanaoamini...kama ndio hivyo....atupe sis wavuvi...wakulima...mafisadi namna ya kutumia kipato cha kilasiku....kama hilo hawezi afunge mdomo asitumie matukio....ili kupata advantage ya waumini.....naona injili ya utajirisho sasa nakosa mvuto
 
NILICHOJIFUNZA
WENGI WENU NI WAUMINI, NA MNACHOAMBIWA NDICHO MNACHOSIMAMIA
HAMJAWAH QUESTION
.....KAMA UNGETOA AKILIZAKO KWA HUYO GWAJIMA....UNGETAMBUA KADINALI PENGO ALIMAANISHA....TANZANIA N YA SOTE WOTE.....WALIO NA DINI NA WASIO NA DINI......SEREKALI NI MSIMAMIZI....ATUONGOZE TUSEGEMEE UPANDE WOWOTE....PENGO KWA KUTIIZA WAJIBU WAKE......ALIYOYANENA HATA MALAIKA MBINGUNI WALISHANGILIA.....NYIE MNAOMWAMINI MTU NI WAJIBU WENU KUENDELEA KUMTUKUZA.......HAKUNA MWANANZUONI YOYOTE MWENYE DINI AU HANA DINI ANAWEZA JIVUA...UTU WAKE.....UELEWA WAKE......NA KUTETEA MATUSI HUYU ASKOFU WAKO GWAJIMA ALIYOYAELEKEZA KWA KADNALI PENGO......WANANZUONI WOTE DUNIANI TUNATUKANANA KWA HOJA......ALICHOKIFANYA GWAJIMA NI KUONGEA LUGHA AMBAYO WAFIA DINI KAMA ISS,ALSHABAB,ALKAIDA WANATAKA ISIKIA/AU WANATARAJIA IWE....SO HOJA INAJIBIWA KWA HOJA NA SIO MATUSI....SO usihalalishe matusi ya askofu wako kwa MANENO MATAKATIFU.......UNGEMSHAURI ASKOFU WAKO AJIBU ,MANENO YA HEKIMA YA KADINALI PENGO KWA MAANDIKO MATAKATIFU NA SIO KUBWABWAJA MATUSI.....MSHAURI N VEMA SASA AKAVUMILIA KULA MATAPISHI YAKE

Ni vema alimpa cash zake, kwa sababu alilewalewa
 
Hata siamini kama bado kuna watu wa aina hii hapa duniani,
pure mazingaombweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nakumbuka uzi mmoja wa Faizafoxy, wajinga ndio waliwao, na kweli dada Faiza

Kweli wajinga ndio waliwao! Mtu na akili yako unavalishwa bomu ujilipue na uuwe watu wasio na hatia halafu unadanganywa eti utaenda Mbinguni! Mbingu gani ya kuingia wauaji? Eti huko watapewa mabikira! Na wake zenu watapewa nini? au wenyewe watakuwa wahudumu wa kuwatandikia vitanda na kuwaogesha hao mabikira huko mnakokuita ahera! Faizafoxy wewe huko ahera utakuwa mshangiliaji au? Halafu unathubutu kusema wajinga ndio waliwao wewe Faizafoxy mpaka hapo haujaliwa? Mumeo kama unaye huko ahera atapewa mabikira, wewe je? Hiyo mbingu ya kuingia wauaji na wameahidiwa kwenda kuendeleza zinaa mimi siitaki! Namwomba Mungu awafungue Macho! Biblia inasema "bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na Wauaji, na WAZINZI, na wachawi na hao waabuduo sanamu na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili. (ufunuo 21:8) Mbingu halisi na mji wa watakatifu umeelezwa hapa "Na mji ule (wa mbinguni) hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo. Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake. Na milango yake haitafungwa kamwe mchana, kwa maana humo hamna usiku. Nao wataleta utukufu na heshima ya mataifa ndani yake. Na ndani yake hakitaingia KAMWE kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye MACHUKIZO na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo" (Ufunuo 21:23-27). Kama unaitaka mbingu halisi, mwamini Yesu uokoke vinginevyo hukumu ya Mungu hutaiepuka. Sali sala ya toba ifuatayo: "Bwana Yesu naja kwako, mimi ni mwenye dhambi. Ninaomba unisamehe dhambi zangu zote ninazozikumbuka na ambazo nimezisahau. Karibu Yesu katika moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wangu. Nioshe dhambi zangu kwa damu yako, futa Jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uliandike kwenye kitabu cha uzima. asante Yesu kwa kuniokoa. Ninaomba yote haya katika Jina la Yesu, Amen." Kama umesahau sala hii kwa kumaanisha, umeokoka na maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako ni haya: "Bwana Mungu naomba umtie nguvu huyu ndugu aliyetubu kwako ili awe na ushindi juu ya dhambi. Mpe furaha na amani na hata kama ana magojwa naomba umponye katika Jina la Yesu Amen."
 
Typing error kwenye post#132: kama umesali sala hii na siyo kama umesahau sala hii. Mungu awabariki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom