- Thread starter
- #101
Gwajima nabii wa uongo....nani alimpa huo uaskofu.?
Uaskofu si chochote, maana si karama anayeitoa Yesu, ni cheo cha uangalizi tu. Anaeza akajivua uaskofu lakini ishara, uponyaji, miujiza haviwezi koma. Na askofu si lazima uongoze kanisa. Karama za huduma za Kristo ni tano tu, utume, unabii, uinjilisti, ualimu na uchungaji. Uaskofu ni cheo ambacho mkristo yoyote anaweza kuapply akiwa na vigezo vya kimaadili