Unajua maana ya majungu? Utakuwa mfuasi wa gwajima wewe.ipo kimajungu sana hii
wakati wa msiba alijificha hata kuaga hakwenda yasemekana.Hivi kweli kwa nini Gwajima asimfufue Jiwe wetu
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu...
Waliokufa kiimani aka KirohoKimajungu wakati Gwajima mwenyewe anadai ana uwezo wa kufufua watu waliokufa!
Huyu amekoment kulingana na kichwa cha habari,hajasoma contentShambulizi liko wapi hapo, hivi wewe ukisema unauza mahindi mtu akishauri serikali ikae na wewe tununue mahindi yako tupeleke kwenye njaa shida iko wapi?
Itagawaje taifa?
Hiyo Yesu hufufua wafu iko kwenye maandiko na utaondoka dunia imebaki hapo hapo. Ila Uhalisia hutakaa ona Binadam alofariki(ubongo ku stop kufanya kazi) Akafufuka.Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu...
Sio wakristo semangwajima , wakristo wanacho amini ni kwamba hakuba binadamu mwenye uwezo wa kufufua wafuSpika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu...
Sasa si ndiyo aonyeshe miujiza aliyonayo? Udini uko wapi hapo!Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.
Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.
NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!