Ila Gwajima alikosea kumfananisha mwenzake na mtoto anaevishwa pempers,mengine yupo sawa ila la pempers,sijui nimempa vidonge vyake jamani sio busara kabisa.kunukuu maandiko kwenye biblia nayo kesi?
Ila Gwajima alikosea kumfananisha mwenzake na mtoto anaevishwa pempers,mengine yupo sawa ila la pempers,sijui nimempa vidonge vyake jamani sio busara kabisa.kunukuu maandiko kwenye biblia nayo kesi?
Pamoja na leo kipande cha sauti kusambaa kuwa Gwajima angejisalimisha Jumatatu kwa kuwa kwa sasa yupo Arusha na kuwataka waumini wake kufika polisi Jumatatu bila kufanya vurugu. Kwa sababu ambazo hazijatolewa bado, askofu Gwajima amejisalimisha kituo cha Polisi tayari leo Ijumaa ili kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza
Sasa ewe sijui tukueleweje..
kauli uliyoitumia ndio hyo hyo iliyotumika..so..na ewe watukana. haya tupe sababu za kutakana kwako..
Leo asubuhi nilibahatika kusikia matamshi ya Gwajima kupitia Redioni!! Kwakweli ni aibu sana kuwa na watu wa aina hii ya Gwajima katika Kanisa, inawezekana kweli alikerwa na hicho Kadinari Pengo alichokisema lakini namna alivyo panikc na kutoa mahubiri ya kumkashifu Kadinari sio sawa, Sina uhakika kuwa kweli huyu ni mtu wa Mungu maana Bwana Yesu katika mafundisho yake alifundisha faida ya kuwa wapole na wanyenyekevu machoni pa watu hata Mbele za Mungu, Nadhani wafuasi wa haya Makanisa ya aina ya Gwajima ifike wakati wajiulize na wamuulize roho mtakatifu awafunulie kilichoko nyuma ya pazia kwa watumishi wanaowaongoza. Ni aibu sana kwa kanisa
Haiwezekani kwa maneno aliyoyasema hadharani na yale aliyoyaeleza kwny ujumbe wa kuwajibu polisi huku akiwa amejaa kigugumizi yakawa yana uzito sawa. Binafsi bado nko na ukakasi wa haya makanisa yanayozidi kuongezeka kwa mgongo wa ubepari yakipora kidogo wananchi walicho nacho na kuwaneemesha waanzilishi inabidi tuamke wa Tanzania vingine tuvikatae na haihitaji akiri ya kuambiwa au kushauriwa kuona tupelekwako na hawa jamaa ambao kila jumapili tunawapelekea sadaka mwishowe wanajaza full tank kwny magari yao ya kifahari huku siye bado tunanukishana vikwapa kwny daladala tupandazo tena kwa kugombania.
Its geting too much n much kwa huu wizi na uzandiki tufanyiwao na hawa wezi na matapeli kwa njia ya biblia mpk leo wanatukanana madhehebuni na tukiwashangilia? Hii ndo nchi isiyo elezeka pale tunapopaswa kusema hapana tunashangilia kweli? Akili zetu si sawa hili na kiri na nadhan kuna haja ya wazungu kuja kutotolea huu upuuzi wao tuendelee na mila zetu za matunfuli
Sio mbaya Gwajima akishikiliwa mahabusu mpaka jumatatu
Kwani leo Jumatatu ama!! Nimesikiliza clip yake imetoka leo na amesema tukikusanyika Polisi Kati tusifanye vurugu.Katusaliti aise.
Atawekwa ndani na nani? Kwa kosa gani?
Yeye si anajiita nabii,aende jela aone kama hatafuniki.
Gwajima ana akili ndogo kumbe! Ukisikiliza audio ya pili ya gwajima utajua kuwa gwajima ni zero
Kwani leo Jumatatu ama!! Nimesikiliza clip yake imetoka leo na amesema tukikusanyika Polisi Kati tusifanye vurugu.Katusaliti aise.
Wangempumzisha lock up kwanza ili akili ikae sawa.
Uhuni wake uishie hukohuko kwa hao vilaza wake wenye frustrations za maisha.