kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,353
- 492
Polisi wa Tanzania ni wa spft targets tu. Mbona kule Amboni waligwaya, mbona juzi waliwagwaya wale majambazi wa Kitaliano, mbona wamemgwaya kumhoji Mangula. Polisi wajue wanafanya kazi kwa mikataba hawana hata security of employment, muda si mrefu watarudi uraiani huko ndio watajua upolisi ni kazi au u-toilet paper.