Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Naomba achapwe viboko kabisa...
Unayemwomba amchape viboko yupo humu Jf.
Naomba achapwe viboko kabisa...
huyo wa nyuma mwenye SUTI NI MWANASHERIA WAO,
Sio mbaya Gwajima akishikiliwa mahabusu mpaka jumatatu
Kama yule wa EFD aliyechochea kutolipa kodi kawekkwa ndani,basi huyu nae lazima wamuweke ndani!
Acheni upotoshaji alimtusi tusi gani?Gwijama ajisalimisha polisi ni baada ya kumtusi kadinali pengo hadharani na kurekodiwa kisha kusambazwa mitandaoni,alipo kupinga tamko la maaskofu tanzania kuwataka waikatae na wapige kura ya hapana
Mkuu unayo?
If so,naiomba
Naku pm no
Matusi yapi?Yaan polisi wamhoji kwa umakini kwa sababu haiwezekani akamtolea askofu pengo maneno na lugha yenye kashfa na kejeli yaliyojaa matus
Yaan polisi wamhoji kwa umakini kwa sababu haiwezekani akamtolea askofu pengo maneno na lugha yenye kashfa na kejeli yaliyojaa matus
Teh Teh Ngwajima atalala Jela mpaka jumatatu ndio atapata dhamana...
Na atalala jela
Kwani Pengo naye alipata mgawo wa eskroo kama Kilaini? Si inasemekana aliyepata ni msaidizi wake?
Kwani hakuna usafiri wa kusafiri kutoka Arusha mpaka kwa muda li saa ?Acha uwongo wewe jamaa kasema yuko Arusha...Pengo mtu wa system kitambo sana lazima aheshimiwe! Alikua mshauri wa bwn Nkapa!
Wangempumzisha lock up kwanza ili akili ikae sawa.
Uhuni wake uishie hukohuko kwa hao vilaza wake wenye frustrations za maisha.
Sasa nani atatoa mahubiri Jumapili? Ngwajima kuozea Jela...
Eweeeee
Ngwajima nani amekurogaaaaaaaaaaaaaa