Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Ile clip ina mengi ya kutafakari.......tuendako pabaya.Tusomeni alama za nyakati.Linaanza la wakiristo kwa wakiristo.

Mkuu Masumbuko. Hata mimi hilo nimeliona. Mbaya zaidi kama watu hawatakuwa makini fujo zinaweza kutokea. Ukimsikiliza kwa makini inaonekana kama vile washirika wanaambiwa get ready. I mght be wrong.
 
Acha uwongo wewe jamaa kasema yuko Arusha...Pengo mtu wa system kitambo sana lazima aheshimiwe! Alikua mshauri wa bwn Nkapa!

He, wachungaji na uTISS wapi na wapi? Ikiwa hivyo Gwajima ajiandae. Huu sasa mkoroganyo.
 
Leo asubuhi nilibahatika kusikia matamshi ya Gwajima kupitia Redioni!! Kwakweli ni aibu sana kuwa na watu wa aina hii ya Gwajima katika Kanisa, inawezekana kweli alikerwa na hicho Kadinari Pengo alichokisema lakini namna alivyo panikc na kutoa mahubiri ya kumkashifu Kadinari sio sawa, Sina uhakika kuwa kweli huyu ni mtu wa Mungu maana Bwana Yesu katika mafundisho yake alifundisha faida ya kuwa wapole na wanyenyekevu machoni pa watu hata Mbele za Mungu, Nadhani wafuasi wa haya Makanisa ya aina ya Gwajima ifike wakati wajiulize na wamuulize roho mtakatifu awafunulie kilichoko nyuma ya pazia kwa watumishi wanaowaongoza. Ni aibu sana kwa kanisa

mkuu, kwani amesema nini dhidi ya pengo? mimi nipo porini hiz habari sijazipata vzr.
 
Ndo maana anaitwa mnafiki, toka lini yesu alikuwa mshauri wa mfalme herode, au pilato

Ndo ujue nyakati......kipindi cha herode/,pilato kulikuwa na simu,magazeti ,etc .... usiishi kwa mazoea things changed......kipindi hiki ni tofauti na nanyakati hizo.....kuongoza nchi si mchezo familia tuu tatizo ndo maana mtu wa kiroho anahitajika kudhauri....'09
 
Gwajima ni kama komandoo flani,amewachenga vizuri sana,maana hapo polisi walikuwa wamesha jiandaa mabomu,risasi na maji ya kuwasha ili walipe kisasi kwa waumini wake, yaani kawachenga vzr sana

Imekula kwao. Na vile kamsema Pinda ni kwamba wangewashushia kipigo cha nguvu.
 
Ule uwanja si kanisa ni public open space kama uwanja wa jangwani.Si jengo la kanisa lile.Kamtukana pengo kwenye uwanja wa wazi mbele ya watu wenye dini na wasio na dini kwenye eneo lisilokuwa la kidini la viwanja vya Tanganyika Packers visivyokuwa vya kidini.Pale hakuna madhabahu pana jukwaa mbele ya sheria.Ambapo alitumia hilo jukwaa kumtukana Pengo akijua fika kuwa pengo si muumini wa kanisa lake wala si kiongozi aliye chini yake akaamua kumporomoshea matusi ya nguoni wakati akjijua pengo hakuwemo humo kanisani kujitetea dhidi ya matusi aliyomporomoshea.

Si kesi zote za jinai lazima mtu aliyekashifiwa akashtaki.Mfano wewe ni askofu ukatukana waislamu hadharani kuwa mohamed alikuwa anakula nguruwe Waislamu wakaja juu.Polisi wanaweza kukufungulia mashtaka ya kutoa matamshi yanayoletelea uvunjifu wa amani bila mwislamu yeyote kupeleka mashtaka.

Kutukana pengo ni kuletelea uvunjifu wa amani kwa waumini wanaomheshimu Pengo.Hivyo Polisi kumfungulia mashtaka Gwajima ni sahihi.Pengo wala hahitaji kwenda polisi.

Gwajima ashikiliwe hadi jumatatu ili asizidi kuzua na kuporomosha matusi na tuhuma zitto.Ikumbukwe kuwa pamoja na kutafutwa ameendelea kutoa Audio za matusi kwa viopngozi ikiwemo aliyoweka leo.Kwa hiyo ili asiendelee na hayo ashilkiliwe hadi jumatatu
Nakupa big like mkuu tatuzo kuna watu wanacoment vitu wasivyovifahamu kwa sheria ya uvunjifu wa amani Gwajima hana pa kutokea
 
Hii danganyika ni drama tupu. Vidonge alivyotoa Gwajima ni sawa kabisa kwa type za kina YUDA ka pengo sasa kwa kua kagusia mambo ya katiba na Pengo ni mzee wa system kama inavyodaiwa hapo poli ccm hawatakubali kushindwa ila uzuri wa Gwajima alishawaeleza kwenye clip y kwanza kua hata bunge haliwez msimamisha kwa kua ni neno na mungu yupo pamoja. HIVI MZEE WA KULIA SI ANAZID JICHAFUA LABDA MWAKA HUU WARUHUSU POLISI NAO WAMPIGIE KURA ZA KUGOMBEA URAIS LKN KWA CIVILIANS HUKU KAZI IPO.
 
Usibwabwajebwabwaje tu mdomo ! Kuna civil and criminal law...hii kesi ni sawa na ya kubaka mtoto. Mwenye mtoto akifungua kesi au asipofungua kesi, SERIKALI itafungua tu upende usipende.

Tuacheni maneno ya kanga na ngonjera hapa. Alichokifanya hata shetani anamshangaaa

mwacheni huyo mbigili asikuumize kichwa. kwani sheikh ponda anashtakiwa nani? mbona ishu yake ni sawa na hii ya gwajima?
 
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Akiongea kabla ya kuhojiwa na polisi Mchungaji Gwajima amejitetea kuwa alichofanya ni kutumia fursa ya kumuonya kiongozi mwenzake wa kiroho kutokana na kuwageuka wenzake katika makubaliano waliofikia katika tamko la kuipigia kura ya hapana Katiba inayopendekezwa.

10394843_1182116201802796_1821351593129740253_n.jpg


kama katamka hivi hata mimi namuunga mkono ila matamshi ya pengo yalishatolewa ufafanuzi na tec kwamba haukuwa msimamo wa kanisa katoliki.
 
Wangempumzisha lock up kwanza ili akili ikae sawa.

Uhuni wake uishie hukohuko kwa hao vilaza wake wenye frustrations za maisha.
 
Back
Top Bottom