Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Hana kosa lolote aliongea ukweli Pengo ni Askofu ninamdharau sana mnafiki
 
Wangempumzisha rock up kwanza ili akili ikae sawa.

Uhuni wake uishie hukohuko kwa hao vilaza wake wenye frustrations za maisha.

"Rock up". Did you mean to say Lock up? Hii nayo shughuli. Hata hivyo wamtie ndani kwa nini?
 
Sio mbaya Gwajima akishikiliwa mahabusu mpaka jumatatu
 
"Rock up". Did you mean to say Lock up? Hii nayo shughuli. Hata hivyo wamtie ndani kwa nini?

Kama umenisahihisha maanake umeelewa nilikuwa na maana gani.Thanks for that!

Makosa ya kiuandishi hayakwepeki mkuu.

Si na wewe unaona hapa.

Hapo kwenye red;I didn't mean to say,I meant to write.
 
Police hii mambo ni hatari saana.......maoni yangu wangeshauriwa wakae kwenye vikao vyao na kuongea.Ona sasa PM anahusishwa na Pengo kwa vile wote ni wafipa....mimi si amini...lakini kuna watu tena wengi wataamini na wataongeza chumvi na mambo ya udini.
 
Pamoja na leo kipande cha sauti kusambaa kuwa Gwajima angejisalimisha Jumatatu kwa kuwa kwa sasa yupo Arusha na kuwataka waumini wake kufika polisi Jumatatu bila kufanya vurugu. Kwa sababu ambazo hazijatolewa bado, askofu Gwajima amejisalimisha kituo cha Polisi tayari leo Ijumaa ili kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza
Wewe u mwongo kabisa. Ukisikiliza maelezo ya Gwajima ameeleza tena mara mbili mbili kuwa ''kuna uwezekano wa kuripoti polisi kabla ya Jumatatu. BTW hapo hao viongozi wa polisi wanazidi kuonyesha upumbavu wao kwasababu hata hizo taratibu za kumwita zimelenga ''kucheza na akili'' za watanzania zaidi na si sheria. Huu ni ujinga tu wa polisi kukubali kufuata maagizo kama mbwa asiye na akili
 
kweli walio wa MUNGU watajitenga na uovu uyo gwajima na pengo wote ni wafuasi wa kristo malumbano na mabishano ya nini? shamba ni moja na msingi tayari MUNGU alisha uweka ambao ni yesu mnagombana nini nyie kilamtu afanye kazi aliyotumwa, mwisho wa siku akirudi mwenye shamba mtaumbuka sana kwa hayo mambo ya ajabu waamini tuna washangaa kabisa dini na siasa wapi na wapi? masikini roho zetu tutafute kwa kuzihifadhi.
 
mbona kesi yenyewe ni kudharirisha kwa maneno na sio uchochez..

ni kulipa faini tu

..lkn meseji imefikia walengwa...
 
Ule uwanja si kanisa ni public mace kama uwanja wa jangwani.Si jengo la kanisa lile.Kamtukana pengo kwenye uwanja wa wazi mbele ya watu wenye dini na wasio na dini kwenye eneo lisilokuwa la kidini la viwanja vya Tanganyika Packers visivyokuwa vya kidini.Pale hakuna madhabahu pana jukwaa mbele ya sheria.Ambapo alitumia hilo jukwaa kumtukana Pengo akijua fika kuwa pengo si muumini wa kanisa lake wala si kiongozi aliye chini yake akaamua kumporomoshea matusi ya nguoni wakati akjijua pengo hakuwemo humo kanisani kujitetea dhidi ya matusi aliyomporomoshea.

Si kesi zote za jinai lazima mtu aliyekashifiwa akashtaki.Mfano wewe ni askofu ukatukana waislamu hadharani kuwa mohamed alikuwa anakula nguruwe Waislamu wakaja juu.Polisi wanaweza kukufungulia mashtaka ya kutoa matamshi yanayoletelea uvunjifu wa amani bila mwislamu yeyote kupeleka mashtaka.

Kutukana pengo ni kuletelea uvunjifu wa amani kwa waumini wanaomheshimu Pengo.Hivyo Polisi kumfungulia mashtaka Gwajima ni sahihi.Pengo wala hahitaji kwenda polisi.

Gwajima ashikiliwe hadi jumatatu ili asizidi kuzua na kuporomosha matusi na tuhuma zitto.Ikumbukwe kuwa pamoja na kutafutwa ameendelea kutoa Audio za matusi kwa viopngozi ikiwemo aliyoweka leo.Kwa hiyo ili asiendelee na hayo ashilkiliwe hadi jumatatu
Mbona unahangaika sana Gwajima una bifu naye?
 
Back
Top Bottom