Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

... amekaririwa Gwajima akisema na kuongeza, “Lakini cha msingi ambacho ndicho cha kuwaza niliyemkemea ni Kardinali Pengo au Polisi?”
Huyu jamaa vipi? Ina maana ukiwa unabaka hadharani, anayestahili kukushtaki ni yule tu unayembaka?
 
kha kumbe wewe mtu mzima, sasa mbona hujitambui? nimekwambia kuna mashimo mbele yako..yaan yanakuhusu wewe..mambo ya vurugu yanahusianaje? ina maana huelewagi kabisa?? heeh! mara ooh tigo...weweee hayo mambo acha yana madhara na Mungu hapendi! halafu mm hayanihusu, labda wewe kama ni mwanaume na unataka kuwa kama sie, maana kuna watu mnatamani kuwa wanawake..! shame! unawaza upuuzi tu!

Unapoandika kwa mafumbo unadhani wote humu wazaramo?

Umejuaje kuna mashimo mbele yangu? Do you even know where I live? Au unadhani wote ni nungunungu kama wewe tunaishi kwenye mashimo?

Sema hayo mashimo ni nini twende sawa eboo.
 
hata nikikuelewesha akili ya kuelewa hauna, ila yapo mashimo mbele yako..ukidumbukia ndo akili itakukaa sawa. soma kwa makini post ya mwanzo kama bado una chembe ya akili utaelewa namaanisha nini! au subiri kesho viroba vikiwa vimeisha kicwani ndo usome..kilaza mlevi

heeeeh! hiyo mipovu inavyokutoka, nahisi chombo unachotumia kishaharibika! unapanic nini sasa? kwahiyo kila mtu aliyeboreka na pumba za Pengo ni muumini wa Gwajima? mbona umekariri..uwe unashirikisha ubongo kabla ya kuongea! halaf ooh vurugu.. mbona muoga sana,kwn wewe wa kike au wa kiume? hakuna vurugu yoyote itakayotokea mana huchelewi kukimbilia kijijini. halafu kuh shimo...mita chache mbele yako lipo, utadumbukia tu! hata ubishe hadi asbh!

ok. vizur..kumb eumeona kuwa hapana tusi..
sasa kwa nn na ewe useme ametukana..
Na kingine nakushaur kitu kimoja usifuate mkumbo..jitafakar kwanza. coz jiulize utasemaje kuwa tabia za Gwajima na Waumin wake..hahahahaha..cvyo!.

Unapom-describe Gwajima kama mhuni kutokana na tabia zake wala siyo tusi ni ukweli mchungu tu halafu mtu mzima anayehudhuria mikusanyiko ya mhuni either ni mhuni mwenzie or kilaza/dunderheads.

Ni rahisi kwa kipofu kuongoza vipofu wenzake ndo maana wote walikuwa wanakenuakenua tu jamaa akiwa anabwabwaja ovyo.
 
nini sasa...hivi hata wewe mwenyewe ukijifatilia unajiona uko sawa? umetokea nchi gani..wanawake wa Tz tulivyo super hatuwezi kuzaa bichwa maji kama wewe...rudi kwenu bhana! unatujazia nchi! ila mind u...kuna shimo mbele yako! siku yakikupata ya kukupata, utaelewa tu ndo shimo lenyewe! maana ulivyo kilaza unadhani ni physical shimo! hopeless
Unapom-describe Gwajima kama mhuni kutokana na tabia zake wala siyo tusi ni ukweli mchungu tu halafu mtu mzima anayehudhuria mikusanyiko ya mhuni either ni mhuni mwenzie or kilaza/dunderheads.

Ni rahisi kwa kipofu kuongoza vipofu wenzake ndo maana wote walikuwa wanakenuakenua tu jamaa akiwa anabwabwaja ovyo.
 
hata nikikuelewesha akili ya kuelewa hauna, ila yapo mashimo mbele yako..ukidumbukia ndo akili itakukaa sawa. soma kwa makini post ya mwanzo kama bado una chembe ya akili utaelewa namaanisha nini! au subiri kesho viroba vikiwa vimeisha kicwani ndo usome..kilaza mlevi

Basi sidumbukizi dudu langu kwenye hayo mashimo yako.
 
maskini, najua ndo unavyofanyiwaga! na huna uwezo wa kumfanyia yeyote! maskini kwishney! pole mtu mzima anayeforce kuheshimiwa! ila Mungu anasamehe, ukitubu anakusamehe na kukuponya. hapo viroba kibao kichwani, hata huelewi unaandika nini! shame!
Basi sidumbukizi dudu langu kwenye hayo mashimo yako.
 
Leo asubuhi nilibahatika kusikia matamshi ya Gwajima kupitia Redioni!! Kwakweli ni aibu sana kuwa na watu wa aina hii ya Gwajima katika Kanisa, inawezekana kweli alikerwa na hicho Kadinari Pengo alichokisema lakini namna alivyo panikc na kutoa mahubiri ya kumkashifu Kadinari sio sawa, Sina uhakika kuwa kweli huyu ni mtu wa Mungu maana Bwana Yesu katika mafundisho yake alifundisha faida ya kuwa wapole na wanyenyekevu machoni pa watu hata Mbele za Mungu, Nadhani wafuasi wa haya Makanisa ya aina ya Gwajima ifike wakati wajiulize na wamuulize roho mtakatifu awafunulie kilichoko nyuma ya pazia kwa watumishi wanaowaongoza. Ni aibu sana kwa kanisa

Sizani kama bibilia inasema tuwe wapole na wanyenyekevu machoni pa watu wenye pepo la kutetea katiba ya chege.
 
"Rock up". Did you mean to say Lock up? Hii nayo shughuli. Hata hivyo wamtie ndani kwa nini?

Mbona unachukia mwache akanyee debe kwanza au akaimbe PAULO NA SILA mpaka milango ya gereza ifunguke.
 
we sio mfuasi wake akusaliti kivipi. walio wafuasi wake wameielewa MOVE!!
umesikia wakilalamika?!
MLITAKA MUWAVIZIE NJIANI NA VIRUNGU. PICHA Ilishasomwa.
Heko jembe Gwajima

Kwa kuwa ana roho mtakafujo ndio maana ameogopa kuweka wazi lini anaenda kuhojiwa polisi.
 
utapata tabu Emma kuwaelewa baadhi ya watu humu! yaani yanadhani ukishafikishwa polisi ni kuwekwa ndani tu, hayajui kuna taratibu ikiwa ni pamoja na kuhojiwa, na ukishahojiwa ukaonekana una kosa kuna issue ya dhamana! hawaelewi hata makosa yenye dhamana ni yapi na yasiyo ya dhamana ni yepi! yaan wamepania balaa Gwajima alale ndani hadi j3! dah! Watasubiri sana, hilo halitokei!

Anaweza akanyimwa dhamana vilevile na kuwekwa ndani haimaanishi ameonewa anaweza kuwekwa ndani kwa usalama wake kuepushwa kupigwa na watu wenye hasira kali kwa kumtukana kiongozi wao.
 
utakuwa unaota wewe siyo bure unafikiri jela wanapelekwa tuu kama maroboti.

Anaweza kuhifadhiwa jela kwa usalama wa maisha yake, kwani hapo alipo anajua kashajitengenezea maadui wangapi?
 
Back
Top Bottom