Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

heri mwenye matatizo anayejijua ana matatizo...maana ataanza utaratibu wa kuyasolve! kuliko wewe mwenye matatizo hadi kwenye kucha halafu hujijui..yaan unajiona upo sawa! amani tele, kumbe shimo lipo mita chache tu mbele..subiri udumbukie..!

Na wewe ni muumini na Gwajima siyo?

Moja ya mashimo ni huo uhuni wa Gwajima na ushabiki wa misukule wake.

Tukiwaacha mtukane watu bila kuwashughulikia mtatupeleka kusiko.

Hivi wafuasi wanaounga mkono maoni ya Pengo wakimfanyia fujo Gwajima huoni mtatusumbua tusio husika na huo upuuzi wenu.

Nyie mnaotanguliza ushabiki ndo mna matatizo.
 
Kwani Pengo ninani hata asikemewe?

kwa hiyo mtu ukimuita mshenzi, huna akili, hufai katika jamii ili hali mtoto au mtu aliyechini yako unamkemea? ni hekima gani aliyotumia gwajima kwa mtu aliyepotoka? mbona yeye ameshindwa kusimamia maamuzi yake ya kuripoti jumatatu je tumuite hana akili?
 
Narudia: Pengo ni boss wa Ngalale kumtwa ndiyo maana yeye mbali ya kua Askofu mkuu pia ni Cardinal anaingia katika vikao vya juu ktk kanisa la katoliki ambavyo Ngalale kumtwa haingii.
Zaidi ni kwamba Gwajima hana adabu ana kashfa kibao, lini uliwahi kusikia Pengo ana kashfa.
 
kweli walio wa mungu watajitenga na uovu uyo gwajima na pengo wote ni wafuasi wa kristo malumbano na mabishano ya nini? Shamba ni moja na msingi tayari mungu alisha uweka ambao ni yesu mnagombana nini nyie kilamtu afanye kazi aliyotumwa, mwisho wa siku akirudi mwenye shamba mtaumbuka sana kwa hayo mambo ya ajabu waamini tuna washangaa kabisa dini na siasa wapi na wapi? Masikini roho zetu tutafute kwa kuzihifadhi.

mkuu pengo amegombana na nani? Hoja hapa ni gwajima kumtukana kiongozi tena wa kanisa asiloliongoza.
 
eti anamkemea kardinali!! sidhani kama anajua alitendalo.
kiufupi anazidi kujichanganya na kuwagawanya watu wasio fikiri vema.
tuiombe serikali kupiga marufuku mtu yeyote kutokumshabulia mwingine kwa kisingizio cha siasa au dini ili eti aonekane yu mwerevu/jasiri sana kuliko wengine.
 
Kwani leo Jumatatu ama!! Nimesikiliza clip yake imetoka leo na amesema tukikusanyika Polisi Kati tusifanye vurugu.Katusaliti aise.
Huko alikokuwa amejificha kulikuwa hakukaliki, maombi hayapandi wala chakula hakiliki! Amejifikiria akaona Jumatatu ipo mbali.Unachezea kuitwa na polisi!
 
Update wapi? Mpaka sasa bado anahojiwa, au amekwisha kuachiwa?????
 
Wakuu naomba mwenye hizo video/ audio za kinachodaiwa kuwa ni matusi dhidi ya cardinal Pengo na ile ya kujisalimisha jumatatu aniwekee, tafadhali. Nahitaji kuona kiwango cha busara cha huyu ndugu.
 
heeeh! huyu naye vipi? unamwagiza nani sasa..!?
mchochezi mkubwa...akamatwe tu na afungwe mpaka kieleweke. hawezi kuwa anatukana watu kwa makusudi akaachwa bila kushtakiwa na kufungwa jela.
 
pointless!
kwa hiyo mtu ukimuita mshenzi, huna akili, hufai katika jamii ili hali mtoto au mtu aliyechini yako unamkemea? ni hekima gani aliyotumia gwajima kwa mtu aliyepotoka? mbona yeye ameshindwa kusimamia maamuzi yake ya kuripoti jumatatu je tumuite hana akili?
 
Pale hakuna cha kesi wala nini wanamsumbua tu... busara ikimpungua mtu basi hudharirika... polisi watadharirika katika hili.. hakuna kilichosemwa kina madhara yoyote yale... mpuuzi, mpumbavu.. mjinga sio matusi... serikali wanakosa busara... pengo katumiwa na wanasiasa na wenzake wamesha litambua hilo so hayo ndio alistahili kuyapata...
 
Mabaunsa wa nini si ange amuru malaika wamlinde
Kama alivyo waamuru waka mtie adabu Pengo
 
Jeshi la polisi linazidi kujidhalilisha kila kukicha... Kama ni matusi ni baina maaskofu wawili.. Kama ni kesi basi wangesuluhishana kwenye mabaraza Yao huko walikoandika huo waraka wao! Kwani. Au pengo ni kiongozi wa serikali?? Regardless pengo ni mkubwa kiasi gani lakini alilikoroga lazima alinywe! Kwa madudu aliyoongea anastahili kabisa repercussions za Aina hiyo!
 
Back
Top Bottom