Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Gwijama ajisalimisha polisi ni baada ya kumtusi kadinali pengo hadharani na kurekodiwa kisha kusambazwa mitandaoni,alipo kupinga tamko la maaskofu tanzania kuwataka waikatae na wapige kura ya hapana
Acha uwongo wewe jamaa kasema yuko Arusha...Pengo mtu wa system kitambo sana lazima aheshimiwe! Alikua mshauri wa bwn Nkapa!
 
Hana ubavu wa kuwapangia polisi aripoti lini.Walitoa order ajisalimishe mara moja. Jeuri yeyote ya kukataa na kujipangia angekiona cha mtema kuni.Hana ubavu wa kutishia nyau polisi huyo.Polisi wakiamua kula sahani moja na mtu hachomoki.

we ndio haujui kitu unachobwabwaja.... tazama tena hiyo picha....umewaona ma-body guard walio nyuma yake ?
unawajua ? basi tulia usikilize movie nzima, kisha kajifiche chini ya kabati..
Code:
 
Mabouncer mnawaita mabodyguard.Subiri wafike polisi hata ndani hawaingii hao.Na wakileta za kuleta kawaulize wa Lipumba walichofanywa
 
Hana ubavu wa kuwapangia polisi aripoti lini.Walitoa order ajisalimishe mara moja. Jeuri yeyote ya kukataa na kujipangia angekiona cha mtema kuni.Hana ubavu wa kutishia nyau polisi huyo.Polisi wakiamua kula sahani moja na mtu hachomoki.

Wewe ni mtoto wa kiume au kike?.
 
we ndio haujui kitu unachobwabwaja.... tazama tena hiyo picha....umewaona ma-body guard walio nyuma yake ?
unawajua ? basi tulia usikilize movie nzima, kisha kajifiche chini ya kabati..
Code:

kwa hiyo mabody guard ndo watazuia polisi wasimwajibishe? Acha akili ndogo wewe dogo
 
Gwijama ajisalimisha polisi ni baada ya kumtusi kadinali pengo hadharani na kurekodiwa kisha kusambazwa mitandaoni,alipo kupinga tamko la maaskofu tanzania kuwataka waikatae na wapige kura ya hapana
Leo asubuhi nilibahatika kusikia matamshi ya Gwajima kupitia Redioni!! Kwakweli ni aibu sana kuwa na watu wa aina hii ya Gwajima katika Kanisa, inawezekana kweli alikerwa na hicho Kadinari Pengo alichokisema lakini namna alivyo panikc na kutoa mahubiri ya kumkashifu Kadinari sio sawa,

Sina uhakika kuwa kweli huyu ni mtu wa Mungu maana Bwana Yesu katika mafundisho yake alifundisha faida ya kuwa wapole na wanyenyekevu machoni pa watu hata Mbele za Mungu,

Nadhani wafuasi wa haya Makanisa ya aina ya Gwajima ifike wakati wajiulize na wamuulize roho mtakatifu awafunulie kilichoko nyuma ya pazia kwa watumishi wanaowaongoza. Ni aibu sana kwa kanisa
 
Hili picha limeanza kunoga ngoja niingie ukumbini niwahi viti vya mbele nione viziri
 
Back
Top Bottom