Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

heeeeh! hiyo mipovu inavyokutoka, nahisi chombo unachotumia kishaharibika! unapanic nini sasa? kwahiyo kila mtu aliyeboreka na pumba za Pengo ni muumini wa Gwajima? mbona umekariri..uwe unashirikisha ubongo kabla ya kuongea! halaf ooh vurugu.. mbona muoga sana,kwn wewe wa kike au wa kiume? hakuna vurugu yoyote itakayotokea mana huchelewi kukimbilia kijijini. halafu kuh shimo...mita chache mbele yako lipo, utadumbukia tu! hata ubishe hadi asbh!
Na wewe ni muumini na Gwajima siyo?

Moja ya mashimo ni huo uhuni wa Gwajima na ushabiki wa misukule wake.

Tukiwaacha mtukane watu bila kuwashughulikia mtatupeleka kusiko.

Hivi wafuasi wanaounga mkono maoni ya Pengo wakimfanyia fujo Gwajima huoni mtatusumbua tusio husika na huo upuuzi wenu.

Nyie mnaotanguliza ushabiki ndo mna matatizo.
 
Wakuu naomba mwenye hizo video/ audio za kinachodaiwa kuwa ni matusi dhidi ya cardinal Pengo na ile ya kujisalimisha jumatatu aniwekee, tafadhali. Nahitaji kuona kiwango cha busara cha huyu ndugu.

Mbona zimo humu ndani?
 
Pale hakuna cha kesi wala nini wanamsumbua tu... busara ikimpungua mtu basi hudharirika... polisi watadharirika katika hili.. hakuna kilichosemwa kina madhara yoyote yale... mpuuzi, mpumbavu.. mjinga sio matusi... serikali wanakosa busara... pengo katumiwa na wanasiasa na wenzake wamesha litambua hilo so hayo ndio alistahili kuyapata.../QUOTE]hebu mtukane rais hadharani kama alivyofanya mbwajina uone matatizo yanavyokua ndugu yako
 
Jamhuri ina uwezo wa kufungua kesi juu ya defamation?? It's a civil case, it was upto Pengo kuifungua sio Kova
 
Pale hakuna cha kesi wala nini wanamsumbua tu... busara ikimpungua mtu basi hudharirika... polisi watadharirika katika hili.. hakuna kilichosemwa kina madhara yoyote yale... mpuuzi, mpumbavu.. mjinga sio matusi... serikali wanakosa busara... pengo katumiwa na wanasiasa na wenzake wamesha litambua hilo so hayo ndio alistahili kuyapata...

wewe ujinga wako umekuzidi kufikiri hivyo Pengo mpaka kesho hakubaliani kamwe na |Mahakama ya kadhi na hajapinga hilo ila watu hawaelewi kinachoendelea hapa. kweli Tanzania hii usiongee kitu.

Kardinali anapinga kuwaelekeza watu kupiga kura ya hapana, hili ni swala la kidemokrasia na hakuna mtu anaweza kumwambia mwingine akapige kura ya hapana au ndiyo, ni hapa tu ndipo hapaeleweki
 
Kova anajishushia heshima bure, anafanya kazi ya siasa badala ya kulinda watu wenye albinism wasiuwawe anahangaika na vita ya Maaskofu heheheheh
 
heeeeh! hiyo mipovu inavyokutoka, nahisi chombo unachotumia kishaharibika! unapanic nini sasa? kwahiyo kila mtu aliyeboreka na pumba za Pengo ni muumini wa Gwajima? mbona umekariri..uwe unashirikisha ubongo kabla ya kuongea! halaf ooh vurugu.. mbona muoga sana,kwn wewe wa kike au wa kiume? hakuna vurugu yoyote itakayotokea mana huchelewi kukimbilia kijijini. halafu kuh shimo...mita chache mbele yako lipo, utadumbukia tu! hata ubishe hadi asbh!

Kumbe yawezekana najadiliana na mtoto mdogo ambaye bado ananuka maziwa.

Wewe ndo umenitahadharisha kwamba kuna mashimo mbele halafu tena unaniambia hakuna vurugu yoyote,are you mad?

Mashimo ulikuwa unazugumzia yako mbele yangu ni Tigo yako siyo?

Nimekuuliza tu we muumini wa Gwajima? Umeanza kuninanga na kunikejeli bila hata sababu,kweli?

Kijana jifunze kujibu kistaarabu kuepusha unnecessary disturbances.
 
Eti ana mabodigadi.hawa manabii wa kipindi hiki kazi kwelikweli.
 
Hana ubavu wa kuwapangia polisi aripoti lini.Walitoa order ajisalimishe mara moja. Jeuri yeyote ya kukataa na kujipangia angekiona cha mtema kuni.Hana ubavu wa kutishia nyau polisi huyo.Polisi wakiamua kula sahani moja na mtu hachomoki.
Tumia akili wewe, sasa wamemfanyaje kaenda wamebaki kumchekea tu majinga hao
 
Mbona katika hiyo audio mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima hakuna sehemu anayosema ataenda polisi jumatatu!!???
By the way Gwajima ninayemfahamu mimi ni mtu mnyenyekevu, anayejiamini na anamwamini Mungu sana.
 
Labda kuna tafsiri mpya ya unyenyekevu kama Gwajima ni mnyenyekevu
 
kha kumbe wewe mtu mzima, sasa mbona hujitambui? nimekwambia kuna mashimo mbele yako..yaan yanakuhusu wewe..mambo ya vurugu yanahusianaje? ina maana huelewagi kabisa?? heeh! mara ooh tigo...weweee hayo mambo acha yana madhara na Mungu hapendi! halafu mm hayanihusu, labda wewe kama ni mwanaume na unataka kuwa kama sie, maana kuna watu mnatamani kuwa wanawake..! shame! unawaza upuuzi tu!
Kumbe yawezekana najadiliana na mtoto mdogo ambaye bado ananuka maziwa.

Wewe ndo umenitahadharisha kwamba kuna mashimo mbele halafu tena unaniambia hakuna vurugu yoyote,are you mad?

Mashimo ulikuwa unazugumzia yako mbele yangu ni Tigo yako siyo?

Nimekuuliza tu we muumini wa Gwajima? Umeanza kuninanga na kunikejeli bila hata sababu,kweli?

Kijana jifunze kujibu kistaarabu kuepusha unnecessary disturbances.
 
Tusi liko wapi hapo?

1.Vilaza au

2.Uhuni.

Tafuta kamusi usome maana zake halafu uhusishe na tabia za Gwajima na waumini wake.

ok. vizur..kumb eumeona kuwa hapana tusi..
sasa kwa nn na ewe useme ametukana..
Na kingine nakushaur kitu kimoja usifuate mkumbo..jitafakar kwanza. coz jiulize utasemaje kuwa tabia za Gwajima na Waumin wake..hahahahaha..cvyo!.
 
Back
Top Bottom