Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,624
.Ukisema wataruhusiwa waliobakwa hapo ujue kila mmoja atakayepata mimba atasema amebakwa na hamjui aliyembaka. Unatakiwa uangalie baadae itakuwaje. Nikuulize kidogo kwa uelewa wako nijibu kama watoto wa kike waliopata mimba wakiruhisiwa je, na kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyeshirikiana na huyo msichana ifutwe?
Kwa hiyo ni kanisa linawafunga hao unaosema wameshirikiana na msichana?