Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

Eti sio Tamaduni za Afrika, Kwani kuwa Mkatoliki/Ukatoliki ni Mila, Desturi na Tamaduni za Mwafrika?
 
Ni sawa ila je unafaham 80% za ubakaji Tanzania zimezaa mimba 2012-2016??? Na kati ya hao waliobakwa 70% ni under 18 na ambao wako umri wa kuwa shuleni je wwe unaonaje mnakazia kwenye mimba sio zinaa??? Yanai mnasem tu mimba bila kujali circumstances

Kma mnataka kupambana na zinaa basi semeni hamfungishi ndoa nyie wakristo kma mwanamke sio bikra au hta hamuandikishi mtoto shule zenu za kikatoliki kma sio bikra ila mnasubiri mimba ndio mjifanye mko serious na zinaa.... je wanaotumia condom ina maana watagradute na uzinzi wao ila aliyebakwa kati ya hao 80% ndio anatimuliwa

Watanzania reasoning yetu imefia wapi??? Afu unakuta wwe ni msomi wa phd na kuna watu watakupa likes!!! Kaz kwelikweli
Yoyote uliyoyaeleza kama hayakutoki kwenye fikra za udini kwangu ndo nimeita plan B.
sidhani kama Dini yako inakubali matumizi ya kondomu,sidhani kama Dini yako inaruhusu kujamiiana pasipo ndoa,sidhani kama dini yako inaruhusu ubakaji (Nipe ufafanuzi mtoto huyu atakayezaliwa yupo kundi lipi?) (Haramu,haki) ndo maana kabisa limeenda extra miles kuweka plan b kwa madhira yote yanayowakuta waamini wake.vilevile elimu za watu za nn kwenye mijadala
 
Naona unachanganya madesa..

Wanafunzi wana haki ya Kupata Elimu pia wanawajibu wa kusoma(kusoma tu) na sio kungonoka..

By the way kwa Kanisa Katoliki hata kufikia huko kwenye mimba ni mbali sana....Ikibainika kuna mahusiano kati ya Ke na Me ni mara moja wanafukuzwa..maana hicho sikilichowapeleka shule
.
Kama haya ni kweli na sii muendelezo wa unafiki, shule zenu wapimeni watoto kama sii bikira fukuza na sister vivyo hivyo kaa sii bikira fukuza kule madhabahuni.
Ila wanaume na waendelee kudunda maana sina uhakika kama na wao wanaweza pimwa ubikira.
 
Mimi namuunga Rais Mkono kwa Kauli yake ya kufukuza shule binti atakayepata mimba...

Yani ni F.U.K.U.Z.A

Hii nchi lazima tuirudishe kwenye maadili
 
HAPO KWENYE LOGIC YA KAWAIDA NDIO NAMSHANGAA HUYU ASKOFU! Yaani askofu anapigia chapuo matumizi ya kondom kwa wanafunzi ili wasipate mimba! Atakayepinga hili anieleze, alishindwaje kuhimiza kuitii amri ya 6 (USIZINI) AMBAYO NDIO DAWA YA KUZUIA MIMBA ZA WANAFUNZI. YEYE NA WADHIFA WAKE AKADAKIA KAULI YA WANASIASA (alioitamka Magufuri) akaitapika kavukavu!! Hii dini ya RC naanza kuwa na wasiwasi, Haya wale RC mteteeni baba yenu huyo mana mnaonaga hao ni watakatifu hawakoseagi.
Askofu yupo upande wa kanisa( haki) hayupo kwenye logic
 
.
Kama haya ni kweli na sii muendelezo wa unafiki, shule zenu wapimeni watoto kama sii bikira fukuza na sister vivyo hivyo kaa sii bikira fukuza kule madhabahuni.
Ila wanaume na waendelee kudunda maana sina uhakika kama na wao wanaweza pimwa ubikira.
Halafu Askofu kaongelea kwa Shule za Katoliki..

Umeshasikia Marian, Mary Goret, Bethel Sabs, Precious Blood mimba zinatokea..

Baba Askofu anakazia tuu maana sheria zinazo-guide Shule za Kanisa zinafahamika ..Hata wewe unazifahamu..

Shule za Katoliki zinafaulisha Simply kwasababu ya Nidhamu....

Wanafiki ni nyie mnaojifanya ati hamzijui strictly laws zinazoongoza shule za Kanisa...
 
Ukiwaangalia usoni kama watu..kumbe ni viatu..
Anahukumu watoto Walio bakwa...
watoto walidhulumiwa Haki zao.
Watoto wasiotambuliwa kosheria.
Wasiojua kujitetea..

Swali kwa padiri huyu sijui askofuu...namuuliza tena aje ajibu humu...
Je..ni watawa wangapi wanaotoa mimba? Ni mapadiri wangapi wanaozaa NA Dada zetu huku mtaani?.
Mbona hatujawahukumu hawa...
Aache unafiki huyu ...Hekima ya MUNGU IMRUDIE YEYE AKAWAZE MEMA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoyote uliyoyaeleza kama hayakutoki kwenye fikra za udini kwangu ndo nimeita plan B.
sidhani kama Dini yako inakubali matumizi ya kondomu,sidhani kama Dini yako inaruhusu kujamiiana pasipo ndoa,sidhani kama dini yako inaruhusu ubakaji (Nipe ufafanuzi mtoto huyu atakayezaliwa yupo kundi lipi?) (Haramu,haki) ndo maana kabisa limeenda extra miles kuweka plan b kwa madhira yote yanayowakuta waamini wake.vilevile elimu za watu za nn kwenye mijadala
Mbona unazunguka haujibu hoja ??? Udini unaingiaje hapa??? We dini yangu unaijua au kisa nakosoa wakristo basi mie automatically nakua hyo dini unayotaka kunipachika???

Anyway hoja aliyosema huyo askofu wenu eti mimba huruhusiwi kwa kigezo kwamba wanataka maadili??? Ndio nasema mimba 80% ni ubakaji mbona haujibu hilo?? Ina maana hao 80% ndio hawatakiwi kurudi shule kisa hawana maadili ????

Anyway ukiachana na ubakaji hoja ya pili nmesema kma mnabna maadili kwanni msitimue wasio mabikra maana wote si wazinzi tu au ni mpaka wapate mimba??? Unajua sielewi kabisa nyie mnaotetea hizi sera mbovu mnafaidik nni ?? Hivi kila mwaka 8000 wanaacha shule kisa mimba ina maana kila mwaka tunazalisha mategemezi zaidi ya 20,000 je nyie mnaotetea hizi sera mnajua impact ya mategemezi kwenye GDP ya taifa??? Hana hta elimu je mnategemea aendeshaje maisha si ni kuongeza tu maskini kila mwaka yaani afu askofu mzima bila aibu hana hta msamaha anasupport kisa tu hoja imetolewa na mtu wa dini yake kaz kwelikweli
 
Soma mathayo23 utaelewa sio kubwatuka
Ahsante ila andika kwa staha ili ujitofautishe na jinsi ulivyo.
Halafu andiko uliloandika halihusiani kwa chochote na jambo linalojadiliwa epuka kukaririshwa soma na kuelewa kisha tafakari
 
Sijamwelewa askofu,anaposema "Kielelezo cha uchumba ni Yesu na Maria,"
Ina maana Yesu alimchumbia Maria au? Sio Josefu ndio limchumbia Maria?
Halafu kwa askofu ni sawa kupinga maana yeye hajachaguliwa na mtu kuongoza japo anaongeza nguvu kuwa washauri wa bwana "Pogba" ni kanisa.
Utamaduni wetu ni umaskini,lazima tuuenzi.
Mkuu ni Yosefu na Maria. Hao ni baba mlezi na mama mzazi wa Yesu. Kwamba waliishi maisha ya uchumba lakini hawakukutana kimwili na kupeana mimba(kwa imani ya wakristo). Wakristo tuna amini Maria alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu kadiri ilivyo amriwa na MUNGU.
 
Halafu Askofu kaongelea kwa Shule za Katoliki..

Umeshasikia Marian, Mary Goret, Bethel Sabs, Precious Blood mimba zinatokea..

Baba Askofu anakazia tuu maana sheria zinazo-guide Shule za Kanisa zinafahamika ..Hata wewe unazifahamu..

Shule za Katoliki zinafaulisha Simply kwasababu ya Nidhamu....

Wanafiki ni nyie mnaojifanya ati hamzijui strictly laws zinazoongoza shule za Kanisa...
Kwahiyo mimba ndio sio nidhamu ila uzinzi ndio nidhamu??? Je kwanni wasitimue usipokuwa bikra?? Je kwanni wasitimue wanaotoa mimba??? Je kwanni mnakazia kwenye mimba tu hamuangali data kwamba 80% ya ubakaji huzaa mimba??? Je mnalenga nni hasa kwenye kuzuia wadada wenye mimba mashuleni wasiendelee na masomo eti nifungue macho mkuu
 
Mbona unazunguka haujibu hoja ??? Udini unaingiaje hapa??? We dini yangu unaijua au kisa nakosoa wakristo basi mie automatically nakua hyo dini unayotaka kunipachika???

Anyway hoja aliyosema huyo askofu wenu eti mimba huruhusiwi kwa kigezo kwamba wanataka maadili??? Ndio nasema mimba 80% ni ubakaji mbona haujibu hilo?? Ina maana hao 80% ndio hawatakiwi kurudi shule kisa hawana maadili ????

Anyway ukiachana na ubakaji hoja ya pili nmesema kma mnabna maadili kwanni msitimue wasio mabikra maana wote si wazinzi tu au ni mpaka wapate mimba??? Unajua sielewi kabisa nyie mnaotetea hizi sera mbovu mnafaidik nni ?? Hivi kila mwaka 8000 wanaacha shule kisa mimba ina maana kila mwaka tunazalisha mategemezi zaidi ya 20,000 je nyie mnaotetea hizi sera mnajua impact ya mategemezi kwenye GDP ya taifa??? Hana hta elimu je mnategemea aendeshaje maisha si ni kuongeza tu maskini kila mwaka yaani afu askofu mzima bila aibu hana hta msamaha anasupport kisa tu hoja imetolewa na mtu wa dini yake kaz kwelikweli
Mtoto anayepatikana kwa ubakaji Dini yako inamuweka kwenye haki/haram
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Songea Mhashamu Damian Dallu amesema kuwa anaunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kutoruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea na masomo, na kusema kuwa shule zinazomilikiwa na Kanisa Katoliki hazitaruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea na masomo.

Amesema hayo katika Ibada ya Misa Takatifu ya Upadrisho wa Shemasi Jerome Mtatifikolo, iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Afya ya wagonjwa Ilole jimboni Iringa ambapo amebainisha kuwa wanaoshabikia wanaopata mimba kurudi shule wanaharibu utamaduni wa kiafrika na kuchafua heshima ya Taifa.

“Hayo mambo siyo sehemu ya utamaduni wetu wa Afrika, ni mambo ya kigeni yanayotaka kutuchafulia utamaduni wetu. Nawashangaa eti wanapigania haki ya tendo la ndoa, haki ya wapi hiyo?.

Tutakuwa na shule za namna gani zinazoruhusu mwanafunzi kwenda kulea mtoto kisha arudi tena na akipata mimba nyingine aende tena nyumbani?” Amehoji Askofu Dallu.

Katika hatua nyingine Askofu Dallu amewaasa waamini kufanya maandalizi ya kutosha hasa ya kiroho wanapojiandaa kuingia katika Sakramenti ya Ndoa ili ndoa zao ziwe na mwelekeo wa kiimani zaidi. Amesema kuwa kabla ya kupewa upadri, Shemasi Jerome alihudhuria mafungo ya kiroho ya siku 5 jambo ambalo linapaswa kuigwa na wale wanaojiandaa kupokea Sakramenti ya ndoa badala ya kujikita katika kufanya maandalizi ya kimwili.

“Watu wa familia mnatumia siku ngapi kufanya mafungo kabla ya kufunga ndoa? Au ndiyo ile kufanya maandalizi mengine ya kimwili marefu. Mkumbuke kuwa hata sisi mapadri tunatoka kwenu, matokeo ya kukosa maandalizi ya kutosha kabla ya ndoa ndiyo haya tunayoshuhudia sasa hivi ambapo wanaoishi ndoa kama Sakramenti ni wachache,” ameeleza.

Aidha amesema kuwa watu wanaoishi maisha ya pamoja kwa muda mrefu hadi kuwa na watoto hawastahili kuitwa wachumba kwa kuwa uchumba kielelezo chake ni Maria na Yosefu, na kuwataka kuacha kutumia jina hilo na badala yake wajiite wachumba sugu.

“Ulisikia wapi watu wanaishi uchumba mpaka wanakuwa na wajukuu? Tafuteni jina jingine kuanzia sasa labda mjiite wachumba sugu. Tutapata mapadri na masista wa namna gani? Kielelezo cha uchumba ni Yesu na Maria,” Ameeleza.

Pia amesema kuwa kazi ya karama ni kujenga umoja wa Kanisa na siyo kuligawa, na kumtaka kila mmoja kutumia wito wake kumtajirisha mwingine.
View attachment 547182

Chanzo:Gazeti la Kiongozi..
Hana watoto. Hajui alisemalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mimba ndio sio nidhamu ila uzinzi ndio nidhamu??? Je kwanni wasitimue usipokuwa bikra?? Je kwanni wasitimue wanaotoa mimba??? Je kwanni mnakazia kwenye mimba tu hamuangali data kwamba 80% ya ubakaji huzaa mimba??? Je mnalenga nni hasa kwenye kuzuia wadada wenye mimba mashuleni wasiendelee na masomo eti nifungue macho mkuu
Tumeanza na hili la mimba kwanza...Automatically tukifanikiwa hapa..hilo la uzinzi ni kazi ndogo mno..

Kwa hili nampongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
 
Askofu yupo upande wa kanisa( haki) hayupo kwenye logic
Kwa hiyo tamko lake la kutishia mimba mashuleni, BADALA YA KUHIMIZA AMRI YA 6 kwa maono yako alivyolitoa, hasa kwa wadhifa wake yupo sahihi (yaani upande wa kanisa)????
JIbu bila kutetea ukanisa, udini mana huko mnaaminishwa maaskofu HAWAKOSEI NI WATAKATIFU. PIA nikutaarifu LOGIC ipo kwa kila maamuzi tunayoyafanya, upende usipende.
Ukisema ndio logically umekataa hapana na kinyume chake ni sahihi. (kama hulka yako ni kubisha bisha na hili wasomaji watakuelewa)
 
Back
Top Bottom