zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Ni sawa ila je unafaham 80% za ubakaji Tanzania zimezaa mimba 2012-2016??? Na kati ya hao waliobakwa 70% ni under 18 na ambao wako umri wa kuwa shuleni je wwe unaonaje mnakazia kwenye mimba sio zinaa??? Yanai mnasem tu mimba bila kujali circumstancesUnafiki ni kwa kila Mwanadamu, namuunga mkono askofu kwa maana ametoa tamko kwa niaba ya kanisa jimboni mwake ambao yy ni mtawala.
Ni sawasawa Hata mm ndani ya utawala wa NYUMBA ni kwangu binti zangu ntawaambia hivyohivo Hata nyingi watoto wenu, wadogo zenu na majirani zenu mtawaambia hivyo hivyo tuache unafiki .
Plan B baada ya binti kutiwa mimba hayo ni mengine. Yaani kanisa lishabikie mimba zitokanazo na zinaa au kanisa lishabikie matumizi ya kondom hapana kila kitu na wakati wake watoto wasubiri wakati utafika.
Kma mnataka kupambana na zinaa basi semeni hamfungishi ndoa nyie wakristo kma mwanamke sio bikra au hta hamuandikishi mtoto shule zenu za kikatoliki kma sio bikra ila mnasubiri mimba ndio mjifanye mko serious na zinaa.... je wanaotumia condom ina maana watagradute na uzinzi wao ila aliyebakwa kati ya hao 80% ndio anatimuliwa
Watanzania reasoning yetu imefia wapi??? Afu unakuta wwe ni msomi wa phd na kuna watu watakupa likes!!! Kaz kwelikweli