Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

Uyamaduni wa Afrika ni kutofanya ngono katika umri mdogo. Kumbuka tulitembea uchi asilimia tisini lakini hatukubaka. Na mpaka sasa kuna makabila ambayo yanatembea uchi kasoro wanafunika tu pale katikati. Lakini hawabakani hata wakikutana polini. Mpaka ufike umri wa kuoa then unaoa. Kama wale kina bush man. Acheni uzinifu maana si mila zetu.

Havome
Historia ya africa ni ndoa za utotoni zilitawala...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom