Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

Ngivu za mijeshi hutumika tu pale ambapo utawala bora haupo. Ya Makonda nilikuwa nasimuliwa enzi za Idd Amin
 
Majibu sahihi huja kwa fikra sahihi.
Amiri Jeshi mkuu hajaonyeshwa kushtushwa wala hajaona kosa kwa kilichofanyika.

I think the guy is standing on higher shoulder
 
Yaaani ningekuwa mimi nyumba yangu inalindwa,pesa napiga,napendwa na rais nalala kwa amani kabisa hapo nashindwaje kumchomeka mimba shemeji yenu???,ningekuwa napiga game za maaaaaaaaana,sie maskini mawazo hadi mdudu hasimami wakati mwingine mtoto kakushika shati anataka ada utamla mtu vizuri kweli.
Mkuu umenitoa machozi eti mtoto amekushika shati utamla mtu vzr na ripoti ishatoka sisi ni nchi raia wake hawana furaha lakini bwana yule mawazo hana game nae hapigi vzr wkt ni anapendwa na mfalme na ubosi wote ule .... hakika kwenye miti hakuna wajenzi
 
Mbona majibu ulipewa jana? Haukusikiliza mwenyewe akisema? Mbona mchezo uliwekwa hadharani jana?
 
Kwahiyo aliwachukuwa walinzi wa idara ya usalama wa Taifa?

Tunaomlaumu Daud Bashite hatujielewi hii show inasimamiwa by remote kutoka Magogoni, kosa la Daud Bashite ni kukubali kutumika tu.
So sad kwamba tuna rais mtengeneza vipindi vya Shilawadu.
 
hebu acha mambo ya kijinga, nilikuwa baiadi hali ni mbaya watu wanaishi kwa kula mboga za majani, jagi la mahindi elfu tano, mji wa nzega umedumaa hakuna uchumi tena baada ya mgodi kufungwa, kule bulyanhulu bar zimekosa wateja baada ya kuzuiwa kusafirishwa mchanga, pale kurasini malori ya golden coach yanapigwa grease kila asubuhi, halafu nyie mnajadili mambo ya kijinga jinga, sasa kimada wa gwajima anawahusu nini? mwacheni makonda ahangaike na mateja na madada poa nyie hangaikieni namna gani watanzania watapata mlo wa mchana angalau uji tu.
Hiki kitu hakihitaji hasira. Wote tutulie. Mnaongalia Tanzania ya sasa fanyeni na mnaoangalia Tanzania ya hapo baadaye fanyeni hivyo. Hatuwezi wote milioni 50 ku focus kwenye kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom