Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
..."huenda", nafasi yake kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa ikawa inampa pia hiyo nguvu ya kuambatana na askari jeshi...."huenda".....lkn point muhimu, ni sababu....alikuwa na sababu gani?
...hawa watu "huenda pia wana mahusiano ya siri, yenye lengo la kulinda njama za kuhujumu wabaya wao...tukio hili lisitusahaulishe "vitimbi" na maudhi vya makomredi ktk mawingu....
Mungu(swt), siku zote hawafichi wanafki...huwaumbua, na wao wenyewe wakabaki umbuana kama tutakavyoshuhudia...
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Ndio....2..aliwachukuwa kwa amri yake kufuata ngada ...3..siwez jibu ila wale askar na jeshi ni WACHINA
 
Rais anaanaglia shilawadu unategemea nini RAC ni muhini tu kama wahuni wengine Bunge rakatiba Alikua anapora Cm za wabunge
 
hebu acha mambo ya kijinga, nilikuwa baiadi hali ni mbaya watu wanaishi kwa kula mboga za majani, jagi la mahindi elfu tano, mji wa nzega umedumaa hakuna uchumi tena baada ya mgodi kufungwa, kule bulyanhulu bar zimekosa wateja baada ya kuzuiwa kusafirishwa mchanga, pale kurasini malori ya golden coach yanapigwa grease kila asubuhi, halafu nyie mnajadili mambo ya kijinga jinga, sasa kimada wa gwajima anawahusu nini? mwacheni makonda ahangaike na mateja na madada poa nyie hangaikieni namna gani watanzania watapata mlo wa mchana angalau uji tu.
kwa akili yako ya maiti una ona ume andika ya maana kweli! kazi tunayo
 
Kama mkuu wa mkoa. Makonda ni mwakilishi wa Rais - yaani taasisi ya U Rais - katika mkoa anaoongoza. Hivyo yeye ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwenye mkoa husika. Yaani kiongozi wa JWTZ ndani ya mkoa anaripoti kwa mkuu wa mkoa kama walivyo wakuu wengine wa majeshi ngazi ya mkoa.

Ukienda ngazi ya Wilaya au Tarafa hali ni hiyo hiyo.
 
Majibu sahihi huja kwa fikra sahihi.
Amiri Jeshi mkuu hajaonyeshwa kushtushwa wala hajaona kosa kwa kilichofanyika.

I think the guy is standing on higher shoulder
Kweli kabisa.
Na kipindi anaagiza polisi wanyang'anye majambazi silaha harakaharaka hamkumwelewa?
Je alipowaambia askari wa usalama barabarani a.ka. traffick kuwa wakikamata magari yanatumia lanes za mwendokasi watoe matairi na hakuna atakayewagusa maana yeye ndio amri jeshi mkuu napo hamkuelewa?
Huyu ndugu yetu masuala ya kusisitiza ufuataji sheria aliachana nayo toka alipoachana na uwaziri wa kubomoabomoa waliojenga kwenye hifadhi ya barabara. Kwasasa yeye ndio sheria. Hayo mengine sijui ya katiba ndio sheria mama, sijui utawala bora mnayajua ninyi. Kwake hayo ni kumpangia cha kufanya na kuingilia uhuru wake. Msijihangaishe sana. Subirini kipindi chake kiishe tuone kama tutaweza kumtoa 'kidemokrasia'. Otherwise, subirini tu mpaka 2025 kama hakuamua kufata nyendo za akina Kagame.
 
Mako ameongezewa ulinzi maadui mmekuwa wengi sana tunalinda uhai wake
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Alipokuwa anaangalia tv ndio alipowatolea hao maaskari!
 
Mtu kama huyu ni muhimu kumwangalia kwa jicho pana. Ni aina watu wanajipenyeza kwenye siasa kwa kutafuta umaarufu hadi baada wanakuja kuwa watawala na kugeuka madikteta hatari. Adolf Hitler ni mfano mzuri
 
Yote kwa yote awe kawaokota au kapewa Mimi nalia tu na katiba yetu ukweli tuna katiba ya Hovyo sana bila kubadili katiba kuna siku Chizi mmoja atatoroka pale milembe na kuchukua form ya kugombea urais atapigiwa kura na vichaa wengi wa hii nchi na Atakuwa Rais wetu mtukufu
Katib subiri 2035 haikuwa agenda ya mheshimiwa rais
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Fanyeni kazi ..Hakuna wakumgusa Makonda hata mjinyonge.
 
Ukitazama CCTV footage ya tukio lile utaona kwamba zile sio uniform za TPDF na wala hazifanani hivyo hakuna mwanajeshi pale. Kwanza bashite angewapata wapi wanajeshi wa kufanya uhuni kama ule? wanajeshi hawafanyi kazi za utumishi wa umma na ndio maana hata mkuu wa mkoa mbele ya mwanajeshi si chochote si lolote.
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Ayo ni mambo ya kitaalamu sana mwanangu..
 
Back
Top Bottom