Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

Polisi ni watoto sana, hawawezi kupewa ikulu walinde hiyo sio size yao.
FFU nawaonaga wengi tu pale Ikulu magogoni wakifanya kazi zao za ulinzi na wanajeshi.

Nakumbuka siku moja tukiwa kwenye DCM Konda alishusha abiria pale kwenye ukuta wa ikulu...askari wa FFU wakamrusha kichura Konda na abiria alieshuka mpaka Ferry.

Acha uhongo braza!
 
Hii kolabo ya Chato na Kolomije inacheza mchezo hatari sana
Kuna hatari siku moja Kolomije ataingia vituo vya radio na 'jeshi lake 'na kutangaza kuanzia sasa yeye ndio BWANA MKUBWA
Sajenti Samuel doe wa Liberia naye aliaminiwaga hivi hivi mwisho akamwaga mboga.lol
 
Samweli
30d44e1e261e54ae2626ca75a4b47b39.jpg
 
duuh!!yaani walinzi wa magogoni wachomokaje kuacha lindo ili kuenda mawingu kuwatisha shilawadu,hapa mtakatifu anahusika,nchi imevamiwa bandugu tuwe macho
Mkuu ina maana wakishaenda lindoni hamna wengine wanaobaki.
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Acha kupoteza muda wako, piga kaazii.
Unatakiwa kujua mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi.

Mh rais alishamaliza ishu yote, hata report ya leo ni fake kwani aliyeiunda anafahamika yupo upande gani.
Makonda p2.JPG
Makonda p.JPG
Gambo.JPG
Gambo 2.JPG
 
Umechelewa njomba,tamko limeshatoka kwa Mkulu.
Cha msingi tujikite kwenye idea na si personalities
Kwani vyeti feki siyo idea na kama siyo idea mbona serikali ya awamu hii ina deal na vyeti feki ina maana na yenyewe ina deal na personalities? Mbona yeye huyo makonda aliwataja watu akidai wanajihusisha na madawa ya kulevya bila kuwa na ushahidi wenye mashiko hiyo siyo kudeal na personalities? AMA KWELI KUWA UYAONE. MKUKI KWA NGURUWE BWANA KWA BINADAMU NI MCHUNGU!
 
Inawezekana raising Kaunda cheo kipya na kampa bashite lakini hajautangazia uma.....

Nahisi hiki cheo kinaitwa..... mnadhimu mkuu na pekee wa raisi..... Mwenye majukumu yafuatayo
1..........
2..........
3..........
4..........
5.......…..
n.k, n.k
 
Kwa ninavyofahamu ni kwamba RC hana Mamlaka ya kuamlisha vyombo vya Ulinzi na Usalama kufanya jambo lolote. Hakuna Sheria inayompa Mamlaka hiyo. RC Bashite alikodi wapi wale waliomsindikiza kwenye utekaji wa kituo cha luninga?. Askari waliomsindikiza RC Bashite walivaa sare za mojawapo ya Majeshi yetu Je RPC wa Mkoa wa Bashite ni yeye aliwatuma kwenye tukio la utekaji? Kama RC Bashite hana Mamlaka kisheria kutoa amri juu ya vyombo vya Usalama kufanya jambo fulani je wale waliomsindikiza walikua ni Majambazi wa kukodi? Je walivishwa nguo za majeshi yetu kwa kuiziiba?. Je alikodi jambazi? je RPC wa Mkoa wa RC Bashite hakuona au haoni haja ya kuwafuatilia na kuhakikisha wanakamatwa?. Na kama ni askari wa majeshi yetu je nani aliwatuma? Na kama hakuwatuma yeye kama RPC je atawatumbua lini?
 
Back
Top Bottom