Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

Hii kolabo ya Chato na Kolomije inacheza mchezo hatari sana
Kuna hatari siku moja Kolomije ataingia vituo vya radio na 'jeshi lake 'na kutangaza kuanzia sasa yeye ndio BWANA MKUBWA
duuh, mkuu umenichekesha sana.
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Alitoka nao bavicha makao makuu.
 
Swali zuri sana hili Mkuu. Je, aliwakokota wakiwa barabarani!?

After what he has done for his nation, Paul Makonda deserves presidential protection for the rest of his life (he has earned it) !
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Moja kati ya maswali yaliyochelewa kuulizwa kabisa. Kwa nidhamu ya majeshi yetu ni vigumu sana Polisi na JW kuungana muda kama huo tena kwa jambo kama hilo! Nadhani kuna haja ya ku clear vizuri hali hii. Haiwezekani katika hali na akili ya kawaida.
 
duuh!!yaani walinzi wa magogoni wachomokaje kuacha lindo ili kuenda mawingu kuwatisha shilawadu,hapa mtakatifu anahusika,nchi imevamiwa bandugu tuwe macho
Walipelekewa matunguri
 
Makonda ameshapewa mkoa wa Dar mpaka Magufuli atoke madarakani. Hivyo majeshi ya polisi, JWTZ, Magereza...nk ya Dar ni mali yake, kwani hujamsikia akisema anaweza pia kumfukuza mtu Dar? Hujamsikia huwa anauita huu mkoa wa kwake? Hivyo usishangae anaweza kutoa askari Lugalo, Osterbay, Central popote. Kitu kilichobaki ni kumleta mama na baba Bashite Dar es salaam kutoka Koromije. Makonda ataanza kuwa na wasiwasi tukikaribia 2020 kwenye uchaguzi tena. Sababu Magufuli asipopitishwa na CCM kugombea akishindwa uchaguzi ataishia Ukonga au Segerea.
 
Hana mandate,yeye ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa ila si kwa majeshi haya.

Wale wanajeshi/polisi/nanii sijui aliwatoa wapi,Kamanda wao kama ni mstaarabu ajiuzulu kabla ya kesho.

Haifahamiki Bashite so far anapoishi,ulinzi uliongezwa baada ya kumtaja Chid Benzi anatumia ngada.
Anakaa masaki.
 
Back
Top Bottom