Kwa hiyo nchi inaendeshwa kwa matamko ya mkulu na si sheria na katiba?Umechelewa njomba,tamko limeshatoka kwa Mkulu.
Cha msingi tujikite kwenye idea na si personalities
Kwa hiyo nchi inaendeshwa kwa matamko ya mkulu na si sheria na katiba?Umechelewa njomba,tamko limeshatoka kwa Mkulu.
Cha msingi tujikite kwenye idea na si personalities
Mimi sipiti tu nje naingia mpaka ndani ya ikulu kwa shughuri zangu, getini wapo FFU hao walinzi wa usalama wa Taifa nawajuwa na combat zao nazijuwa pia.FFU kama uliwaona basi walikuwa doria wanapota njia, pale wapo wenyewe amboa sio JWTZ na wala sio idara ya polisi, haja jezi wanazovaa n nadra sana kuziona huku mtaani
Mnapenda sana sifa hahahahMimi sipiti tu nje naingia mpaka ndani ya ikulu kwa shughuri zangu, getini wapo FFU hao walinzi wa usalama wa Taifa nawajuwa na combat zao nazijuwa pia.
Wale sio walinzi wa magogoni ni walinzi wa nyumbani kwake,tangu sakata la madawa lianze Bashite analindwa na FFU karibu 6 na wale jamaa wa makumbusho,hao wanaoonekana kama ni wanajeshi ni wale jamaa wa makumbusho hua wanavaa kombati kama za vijana wa Lugalo,hilo kundi lote aliloendanalo clouds alitoka nalo nyumbani kwake masaki.duuh!!yaani walinzi wa magogoni wachomokaje kuacha lindo ili kuenda mawingu kuwatisha shilawadu,hapa mtakatifu anahusika,nchi imevamiwa bandugu tuwe macho
Tulikuwa tunaangalia Shilawadu bana nyie kwanini mnashindwa kuzama na kuibuka na samakiMaswali:
1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?
2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?
3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?
Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Unamfahamu huyu?Maswali:

JWTZ NAYO INATUMIKA VIBAYA
Siku nyingine ukiandika hilo jina uwe unamalizia kwenye mabano (Sio jina lake halisi). Refer utafiti wa gazeti la jamhuri la leo.After what he has done for his nation, Paul Makonda deserves presidential protection for the rest of his life (he has earned it) !
Daaaahh nimecheka sana Eti Ikulu inalindwa na FFUIkulu si wanalinda FFU? Au wamebadiri?
Makirikiri wanalinda ofisi za usalama wa taifa sio ikulu
Wanavaa nguo kama za ngozi ya fisi
FFU nawaonaga wengi tu pale Ikulu magogoni wakifanya kazi zao za ulinzi na wanajeshi.
Nakumbuka siku moja tukiwa kwenye DCM Konda alishusha abiria pale kwenye ukuta wa ikulu...askari wa FFU wakamrusha kichura Konda na abiria alieshuka mpaka Ferry.
Acha uhongo braza!
Gwajima alisema "Wale wanaovaa Makirikiri!Wale sio wanajeshi, ni wale wa kaunda suti na wenyewe huwa wanavaa magwanda ya rangi ya kijivu. Ukipita pale makumbusho jaribu kuchungulia pale utawaona.
Inasemekana ni walinzi wa makazi ya sizonje,alitoka nao huko
Vinaandika linavyotamkwa na mtamkajiVidole navyo vinatamka?
HahahaaaUKIONA KOBE JUU YA MTI UJUE AMEPANDISHWA HUYO.
Huyo mpuuzi mkuu....JW huwa inafika mahali lazima waje polisi kutaka msaada!!!! Umemfafanuliwa vizuri.....Jinga sana wewe hao FFU ndio wanalinda ikulu na misafara ya rais ile outer cover pia kwenye mikusanyiko ya rais