Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

Ukitazama CCTV footage ya tukio lile utaona kwamba zile sio uniform za TPDF na wala hazifanani hivyo hakuna mwanajeshi pale. Kwanza bashite angewapata wapi wanajeshi wa kufanya uhuni kama ule? wanajeshi hawafanyi kazi za utumishi wa umma na ndio maana hata mkuu wa mkoa mbele ya mwanajeshi si chochote si lolote.
Mkuu samahani, unaweza kunifafanulia kidogo hapo kwenye nyekundu??
 
Yote kwa yote awe kawaokota au kapewa Mimi nalia tu na katiba yetu ukweli tuna katiba ya Hovyo sana bila kubadili katiba kuna siku Chizi mmoja atatoroka pale milembe na kuchukua form ya kugombea urais atapigiwa kura na vichaa wengi wa hii nchi na Atakuwa Rais wetu mtukufu
Chizi achukue fomu mara ngapi
 
Moja kati ya maswali yaliyochelewa kuulizwa kabisa. Kwa nidhamu ya majeshi yetu ni vigumu sana Polisi na JW kuungana muda kama huo tena kwa jambo kama hilo! Nadhani kuna haja ya ku clear vizuri hali hii. Haiwezekani katika hali na akili ya kawaida.
Hakukuwa na mwanajeshi pale na hata zile uniform ni tofauti na za jeshi, halafu hata wangevalishwa uniform za jeshi bado hakuna mtu anayeweza kunishawishi kulikuwa na mwanajeshi pale.
 
Hakukuwa na mwanajeshi pale na hata zile uniform ni tofauti na za jeshi, halafu hata wangevalishwa uniform za jeshi bado hakuna mtu anayeweza kunishawishi kulikuwa na mwanajeshi pale.
Zile uniform zinavaliwa na walinzi wa usalama wa Taifa, siyo wale wavaa kaunda suti.
 
Ukitazama CCTV footage ya tukio lile utaona kwamba zile sio uniform za TPDF na wala hazifanani hivyo hakuna mwanajeshi pale. Kwanza bashite angewapata wapi wanajeshi wa kufanya uhuni kama ule? wanajeshi hawafanyi kazi za utumishi wa umma na ndio maana hata mkuu wa mkoa mbele ya mwanajeshi si chochote si lolote.
Kwa kuongea pumba hujambo hebu soma comment za watu ndo maana nakwambia bado mtoto
 
Back
Top Bottom