Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.

Kwa Katiba ya Tanzania ninachojua ni kwamba Mkuu wa Mkoa ana mamlaka yote juu ya suala zima la Ulinzi na Usalama kwa Mkoa husika na haishii tu hapo anaweza pia hata akaja nyumbani kwako na kukutoa ndani vile vile akakurukisha kichura chura mbele ya Mkeo na akakuweka ndani hata kwa Saa kadhaa au siku kadhaa.

Safi sana RC Makonda kwa kuwavamia hao Clouds Media Group majuzi ili utengeneze nidhamu na heshima. Na ningekutia tu moyo kuwa endelea tu kuwavamia hadi waelewe kuwa Mkoa huu uko kwa mwenye mafanikio nayo ambaye ni Wewe Ndugu Paul Christian Makonda.
 
Tatizo lako ni nini? hivi wanajeshi wa nchi hii unawajua? hayo magwanda si hata Rose Mhando anayo, hebu tujadili mambo ya maana, kilo ya dona sasa elfu miatano, chakula kimekuwa anasa nyie mnahangaika na vyeti, akili zenu mbona nusu sana.
 
Hujui kuwa serikali haina shamba?!
 
Hujui kuwa serikali haina shamba?!
hebu acha mambo ya kijinga, nilikuwa baiadi hali ni mbaya watu wanaishi kwa kula mboga za majani, jagi la mahindi elfu tano, mji wa nzega umedumaa hakuna uchumi tena baada ya mgodi kufungwa, kule bulyanhulu bar zimekosa wateja baada ya kuzuiwa kusafirishwa mchanga, pale kurasini malori ya golden coach yanapigwa grease kila asubuhi, halafu nyie mnajadili mambo ya kijinga jinga, sasa kimada wa gwajima anawahusu nini? mwacheni makonda ahangaike na mateja na madada poa nyie hangaikieni namna gani watanzania watapata mlo wa mchana angalau uji tu.
 
Yaaani ningekuwa mimi nyumba yangu inalindwa,pesa napiga,napendwa na rais nalala kwa amani kabisa hapo nashindwaje kumchomeka mimba shemeji yenu???,ningekuwa napiga game za maaaaaaaaana,sie maskini mawazo hadi mdudu hasimami wakati mwingine mtoto kakushika shati anataka ada utamla mtu vizuri kweli.
 
Kwa Katiba ya Tanzania ninachojua ni kwamba Mkuu wa Mkoa ana mamlaka yote juu ya suala zima la Ulinzi na Usalama kwa Mkoa husika na haishii tu hapo anaweza pia hata akaja nyumbani kwako na kukutoa ndani vile vile akakurukisha kichura chura mbele ya Mkeo na akakuweka ndani hata kwa Saa kadhaa au siku kadhaa.

Safi sana RC Makonda kwa kuwavamia hao Clouds Media Group majuzi ili utengeneze nidhamu na heshima. Na ningekutia tu moyo kuwa endelea tu kuwavamia hadi waelewe kuwa Mkoa huu uko kwa mwenye mafanikio nayo ambaye ni Wewe Ndugu Paul Christian Makonda.
Kashindwa kuzaa hata mtoto wa kupakaziwa ataliweza jiji? Kiongozi mzuri huanzia kwenye familia yake, lakini yy kutwa ni kuchepuka na Bonge movie chini ya Ukuadi wa Steven Nyerere na Le-'Mutuz hana kitu mkewe miaka kadhaa hapati mimba ni maajabu mtu tasa mgumba kujidai kidume wakati si lijali.
 
Hana mandate,yeye ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa ila si kwa majeshi haya.

Wale wanajeshi/polisi/nanii sijui aliwatoa wapi,Kamanda wao kama ni mstaarabu ajiuzulu kabla ya kesho.

Haifahamiki Bashite so far anapoishi,ulinzi uliongezwa baada ya kumtaja Chid Benzi anatumia ngada.
Hakukua na mwanajeshi pale.
 
Maswali:

1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?

2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?

3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?

Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Uwe unauliza kwanza kabla ya kuhoji , hakuna mwanajeshi pale .
 
= wamebadili

Wewe nawe andika Kiswahili vizuri, kufundwa kote JF bado tu huelewi wapi pakuweka R na wapi pakuweka L.
Nini maoni yako FaizaFoxy?
Natumai nitaondoka na elimu flani. Hujawai niangusha
Bora umepita hapa!
 
Back
Top Bottom