Askari wa Ulinzi aokota Milioni 10. Apewa zawadi ya Laki 5

Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe😁😁😁
Nawewe ulimuamini mzee wako?
OK mzee alikuwa mwizi na alikuwa anakufundisha wizi
 
Hii ndo tanzania huyu alirudisha akidhani atapewa zawadi kama yule kijana sijui wa nchi gani? Anyway sio kwa tz hii kama alifanya kulipwa na mungu hapo sawa ila kulipwa na mbongo sahau.
 
Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe
Mzee wako alitengeneza hicho kisa ili usije ukafanya huo ujinga siku ikitokea

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe
Za kufikiria.
 
Askari wa kampuni ya ulinzi ya NG'e anaelinda JKCI.. Aisha twalibu..

Aliokota begi la mgonjwa aliedondosha eneo Hilo la hospitali lenye kiasi Cha pesa shilingi milioni kumi(10m)

Lakini mlinzi huyu alirudisha kiasi Hilo Cha pesa na mhusika hakumpa hata shilingi kumi.

Mkurugenzi mtendaji wa JKCL alimpatia shilingi laki Tano Kama zawadi ya uaminifu...

Je ungekuwa wewe ungerudisha hiyo pesa ili upewe zawadi ya uaminifu kwenye kazi yako ya laki tatu???? View attachment 2040303
Samahani nitaweka tusi hapa. Huyu dada ni mtko thana
 
Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe😁😁😁
🤣🤣
 
Back
Top Bottom