Askari wa Ulinzi aokota Milioni 10. Apewa zawadi ya Laki 5

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,797
Askari wa kampuni ya ulinzi ya NG'e anaelinda JKCI.. Aisha twalibu..

Aliokota begi la mgonjwa aliedondosha eneo Hilo la hospitali lenye kiasi Cha pesa shilingi milioni kumi(10m)

Lakini mlinzi huyu alirudisha kiasi Hilo Cha pesa na mhusika hakumpa hata shilingi kumi.

Mkurugenzi mtendaji wa JKCL alimpatia shilingi laki Tano Kama zawadi ya uaminifu...

Je ungekuwa wewe ungerudisha hiyo pesa ili upewe zawadi ya uaminifu kwenye kazi yako ya laki tatu????
Screenshot_20211211_104618.jpg
 
Ok kanuni zipo hivi. Ukiona mtu kadondosha kiasi hicho cha pesa na wewe umekiokota jua ni mother nature imefanya yake in favour of you. Na mara nyingi mtu carelessly anaanzaje kudondosha mzigo wa 10M? Easy come easy go Jua hata namna alivyo zipata sio namna nzuri (legal ways.) Okota tia kibindoni maisha yaendelee.
Alisikika jamaa mmoja hivi
 
Usirudishe kwani ni hela yako? Hutakiwi hata kuumia maana ni hela ambayo haikuhusu..

Kuna dogo alikuwa na itikadi kama hizo, ooh mm nikiokota kitu sirudishi. Kesho yake tu kapanda gari simu akaisahau kwenye gari, watu wenye roho kama yake wakapita nayo. Akaja kwangu analaani vibaya eti kwanini aliyeokota hajamrudishia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok kanuni zipo hivi. Ukiona mtu kadondosha kiasi hicho cha pesa na wewe umekiokota jua ni mother nature imefanya yake in favour of you. Na mara nyingi mtu carelessly anaanzaje kudondosha mzigo wa 10M? Jua hata namna alivyo zipata sio namna nzuri (legal ways.) Okota tia kibindoni maisha yaendelee.
Alisikika jamaa mmoja hivi
Fact young bro.

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Usirudishe kwani ni hela yako? Hutakiwi hata kuumia maana ni hela ambayo haikuhusu..

Kuna dogo alikuwa na itikadi kama hizo, ooh mm nikiokota kitu sirudishi. Kesho yake tu kapanda gari simu akaisahau kwenye gari, watu wenye roho kama yake wakapita nayo. Akaja kwangu analaani vibaya eti kwanini aliyeokota hajamrudishia

Sent using Jamii Forums mobile app
Malipo Ni hapa hapa Duniani

Jua namna alivyo ipata hiyo simu kuna mahali aliumiza wenzake kwa namna moja ama nyingine😆 ni sheria za asili zipo ktk utendaji wake
 
Wema hauozi.
Million kumi ni ndogo tu.

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe😁😁😁
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom